Tuwavishe Tanzania

Tuwavishe Tanzania

amani ya kweli

Senior Member
Joined
May 2, 2015
Posts
149
Reaction score
17
Ni NGO ambayo ina pokea misaada ya mavazi kwa watu na mashirika mbali mbali na kuwapa wenye mahitaji. Amini Kuna binadam wenzetu wanavaa matambala, wanatembea peku na bado wanatumaini la maisha kama wengine. Ombi kwako :kama umeguswa na una nguo, matandiko, viatu nk. Piga 0768638360. Uwavishe na Mungu atakubariki. Ahsante!
 
Ni idea nzuri ila msiwe wapigaji kama NGOs za ukimwi.wagonjwa wanajiharishia majumbani wao wanajenga maghorofa.
 
Idea yako imekaa vizuri!!,lkn haujasema unapatikana wapi???,mlianzaje?,Members mpo wa ngapi?,n.k.
 
Habari wapendwa kama una viatu, nguo za watoto nk. Na unapenda zitolewe tafadhali piga simu no 0768638360 au 0765541927
 
Back
Top Bottom