jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
.....Ukiwekeza kwa hawa wasomi zile milioni 50 kila kijiji na kila mtaa basi tarajia ajira kukua ...lakini hizi milioni 50 zikidakwa na matapeli na wachumia tumbo waliozoea kujilimbikizia mali ujue umeliwa....
Tuwatambue na tuwakamate wasomi wasiokuwa na kazi maalumu hapo Jijini tuwape mitaji kwa kuwakopesha ili wakajiendeleze na kuajiri wengi zaidi.
Anayeelewa na aelewe !
Tuwatambue na tuwakamate wasomi wasiokuwa na kazi maalumu hapo Jijini tuwape mitaji kwa kuwakopesha ili wakajiendeleze na kuajiri wengi zaidi.
Anayeelewa na aelewe !