Tuwatambue wahitimu wa vyuo waliokosa kazi na tuwape mitaji!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
.....Ukiwekeza kwa hawa wasomi zile milioni 50 kila kijiji na kila mtaa basi tarajia ajira kukua ...lakini hizi milioni 50 zikidakwa na matapeli na wachumia tumbo waliozoea kujilimbikizia mali ujue umeliwa....

Tuwatambue na tuwakamate wasomi wasiokuwa na kazi maalumu hapo Jijini tuwape mitaji kwa kuwakopesha ili wakajiendeleze na kuajiri wengi zaidi.

Anayeelewa na aelewe !
 
Tatizo la ajira lipo kubwa tu, ni janga si hapa kwetu tu ni dunia nzima, hatuwezi kulitatua kwa kwenda na migambo kwenye nyumba za watu ni aibu.
 
Discuss hiyo alternative niliyoitoa tuachane na issue za mgambo na polisi...nilitegemea sana wanaharakati waziongelee mil 50 za kila kijiji kumfikia mlengwa hasa yule atakayeweza kuziendeleza lakini wao ni porojo za kutetea majambawazi tu.
 
1. Mtaji wa kwanza ni maarifa anayoyapata huyo anayeitwa msomi kitoka shuleni. Ni vigumu kumpatia mtaji msomi.
2. Tzs. milioni 50 si kwa mtaji binafsi bali mtaji kwa umma kupitia vijijini.
3. Msomi anatakiwa kujiajiri kwanza kabla kusaidiwa kuajiri wenzake, kama anaweza.
JF tunataka innovative ideas zaidi ya ulichokiweka hapa.
 
Msomi akipewa mtaji huu wa milioni 50 atafanikisha ajira za wengi sana
 
Discuss hiyo alternative niliyoitoa tuachane na issue za mgambo na polisi...nilitegemea sana wanaharakati waziongelee mil 50 za kila kijiji kumfikia mlengwa hasa yule atakayeweza kuziendeleza lakini wao ni porojo za kutetea majambawazi tu.

milioni 50 kwa kila kijiji. hivi dar nayo kuna vijiji eeeeee? au wao hazitowahusu?
 
Msomi akipewa mtaji huu wa milioni 50 atafanikisha ajira za wengi sana
Msomi anayeshindwa kutumia maarifa kujiajiri hastahili kuaminiwa. Aende aajiriwe na kijiji kilichopewa hizo milioni 50 akifanyie kazi kimlipe mshahara.
 
Back
Top Bottom