democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
anayeongza katika wote ni huyu mzee ambaye hana wizara maalum,naniiii huyuuuu eeehh Mak Mudondoshwa
Wakuu,
Hebu tuwataje viongozi wa serikali kwenye nafasi mbali mbali ambao wao hawastahili kuwepo katika nafasi hizo, na uwepo wao ndiyo kikwazo cha maendeleo! hawa wamewekwa tu ili kujaza nafas bila kuzingatia utashi. Naanza na Mulugo, endelea kutaja.....
Nahodha huyu pia naomba mwenye CV yake aniwekee na mzeee wa mikasi
Nahodha huyu pia naomba mwenye CV yake aniwekee na mzeee wa mikasi
Mkurugenzi wa jiji la MWANZA KABWE.WASIRA,MANSOOR mbunge wa kwimba
Wenje dr slaa na lema ni janga kwa taifa letu huleeeeeeeeeeeeeeeeeee,mbowe ni kiongozi makini pia lossy na tuntemekeList yako ni nzuri...
naona una kale kaugojwa ketu. hahaaaa!Wengi tu ebu anza na mulugo!! Irene(SSRA),Dr Dau!
unaweza kutangaza tu, mbota tanzania kuna marais wengi, mfano slaa naye ni rais, na wewe unaweza jipa na kujitangaza, then unatangaza hilo janga la kitaifa la makazi.wakurugenzi wote wa maendeleo tz majiji na miji. Unawezaji kuendeleza nchi kwa kusimamia ujenzi holela wa makazi ya watu na viwanda na hii ni toka tupate uhuru .toka uhuru viwanja vilio pimwa kama makazi nchi nzima avizidi laki 2.tulipo pata uhuru tulikuwa milion 6 na hadi leo tupo zaidi ya milioni 45 .kama ni mimi rais leo ningetangaza makazi holela kuwa janga la taifa