Tuwataje wanaotuharibia..

Tuwataje wanaotuharibia..

Mzee mwenye kichwa kufugia nywele (mnamuita muraaaa Werema), mzee wa Bunda (aka tyson), first class economist (lameck madelu au mwigulu nchemba) ...... aahhhhh orodha ndefu choka mie

hahahaha! hii imetulia ++
 
Wakuu,

Hebu tuwataje viongozi wa serikali kwenye nafasi mbali mbali ambao wao hawastahili kuwepo katika nafasi hizo, na uwepo wao ndiyo kikwazo cha maendeleo! hawa wamewekwa tu ili kujaza nafas bila kuzingatia utashi. Naanza na Mulugo, endelea kutaja.....

Embu toa mada zenye akili. Sasa ndio umeanzisha mada gani hii? Kama huna cha kuandika kaa kimya. Soma michango ya wenzako.
 
Embu toa mada zenye akili. Sasa ndio umeanzisha mada gani hii? Kama huna cha kuandika kaa kimya.

Kwani mada hujaielewa? je, katika jamii unayoish hakuna matatizo yanayotokana na uongozi m'baya?
 
1. Kikwete
2. Pinda.
3. Lowasa
4. Makinda Anna
5. Mwema
6. Warema
7. Tendwa
8. Manumba DPP
9. Media zote
10. Katiba ya zamani
11. Wabunge viti maalumu.

Jazieni basi yani mpaka nitaje wote
 
Back
Top Bottom