VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Pale ambapo Bunge letu litasinyaa na kubaki na Wabunge 75 tu toka hawa wa sasa zaidi ya 260,hawa wangefaa kuwa Wabunge katika Bunge Jipya:1. Tundu Antipas Mughway Lissu 2. Kangi Lugora 3. Deo Firikunjombe 4. Halima Mdee 5. Freeman Aikaeli Mbowe 6. Godbless Lema ..................Karibuni! Zingatio: Wanaume 35 na Wanawake 35 (achilia mbali watakaoteuliwa) Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam