Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

MM huwa sijakuelewa vizuri is something paradox in my side! wewe unachekesha sana au ni walewale Rweyemamu, Mashariti yako yana uhusianao gani na Mlo?ungesema ungelipa bumu la shule labda, hiyo ni dharau, hata kama wanafunzi watakunywa maji lazima atamaliza chuo tu,pia kumbuka ww sio mlezi wao wana wazazi ,ww unasaidia Mlo kama nani? au hivyo visenti vinakusumbua kwanza una umri gani?maaana Akiri zako ni za kunguru na mawazo yako ni ya abunuasi kabisa kama umesoma shule ,hiyo shule ulidesa kwanini usisaidie wanaume?.waswahili wana sema tembea uone kweli duniani kuna maajabu.
 
Kwa wale waliosoma nje ya nchi watakubaliana na mimi kuwa kuna scholarship za kila aina huko mavyuoni

1. Wanawake katika fani ya sosholojia
2. Waafrika chini ya jangwa la Sahara
3. Wanawake katika uhandisi
4. Wanaosoma chemical and processing
nakadhalika nakadhalika

Kwenye tukio hili, tatizo ni kuwa linafanywa kibinafsi na sio kitaasisi. Naamini wanawake watakaoridhika kupata scholarship hiyo ya elfu 90 kwa mwezi wapo, tena si kidogo, lakini ili ku-facilitate dhima yako pitisha kwenye Shirika lolote au NGO yoyote. Italirasimisha zaidi na bado utakuwa na nguvu za kufuatilia masharti yako yote kuona yanaendelea kutimizwa

Kila la heri.
 
Mkuu wasikukatishe tamaa,hope atapatikana anaekidhi vigezo vyako! Hata hivyo lazima ujue hapa duniani huwezi kumfurahisha kila mtu..chapa ilale baba!
 
Mkuu hujasoma vyuo vya hapa nchini kwetu? nnavyoelewa kuna wengine wana kila kitu, ila shida yao ni dudu tu wala hawana shida na mlo wako. Ila kwa namna hiyo ya kutaka kumsaidia huyo mkosa mlo basi utampata mpata mlo na uroda ataendelea nao kama kawaida na hizo assignment zako atafanya tu. Sio wote wa shida ya mlo ndo wafanywe mkuu just to remind you.
 
Hizo 3000 hata vocha hazitoshi maana wanatumiaga simu zaidi ya tatu.
 
Unataka wakware waamini kwamba kumpata msichana wa chuo ni easy kiasi hicho.
 
Kwa Majority walio respond to this thread, Nina conclude kuwa kwa mtanzania kuondokana na umasikini au kupata maendeleo itabidi tutegemee evolution, na si revolutions.

Maana kwa dharau na dhihaka wanayoionyesha inaleta taswira kuwa hatujui hasa shida za wengine. Tunalazimishana tuamini kuwa masikini katika Tanzania ni yule anayeshindwa kumudu kuweka mafuta katika gari lake, au yule anayeshindwa kumudu kupanga chumba cha shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa mwezi. Hatuamini, au tumeshahu kuwafikiria wale wanaokwenda kutafuta maji kwa umbali wa Km 20 kwenda na 20 kurudi, hatutaki kusema ukweli kuwa kuna wanafunzi wanavaa viraka na kwenda shuleni bila viatu, hatutaki kusema kwa sababu ni ukweli unaodharirisha. Ndivyo tulivyo hata katika tafiti hatutoi taarifa sahihi na matokeo yake kuanzishwa kwa mikakati au program zisizo kidhi mahitaji.

Unaweza ukaidharau shilingi 3,000, hiyo ni kwa mtazamo na viwango vyako, lakini sisi ambao tupo affiliated na maswala ya afya tunazijua kesi nyingi za wanafunzi wanaoanguka kwa njaa, au kuumwa magonjwa yasiyoeleweka kwa sababu ya kukkosa chakula kwa mtiririko sahihi.
 
Mwanangu Stay Real,
Sema una lako. Kama ungetaka kusaidia ungetoa pesa hiyo kwa chuo kichague jinsi ya kuwapambanisha wahusika na kutoa hiyo pesa yako. Inaonekana unataka mwanamke mwenye fani kama yako sema umeamua kutumia uchache huu unaokuwawshawasha kuweka mazingira ya kumnasa huyo mhusika. Nia yako yaweza kuwa nzuri lakini mazingira uliyoweka yanatia shaka. Wafikirie na wakaka wasio na mwili wa kuuza if you seriously mean to help not to help yourself.

umenichekesha sana kha aisee
 
Kwa wale waliosoma nje ya nchi watakubaliana na mimi kuwa kuna scholarship za kila aina huko mavyuoni

1. Wanawake katika fani ya sosholojia
2. Waafrika chini ya jangwa la Sahara
3. Wanawake katika uhandisi
4. Wanaosoma chemical and processing
nakadhalika nakadhalika

Kwenye tukio hili, tatizo ni kuwa linafanywa kibinafsi na sio kitaasisi. Naamini wanawake watakaoridhika kupata scholarship hiyo ya elfu 90 kwa mwezi wapo, tena si kidogo, lakini ili ku-facilitate dhima yako pitisha kwenye Shirika lolote au NGO yoyote. Italirasimisha zaidi na bado utakuwa na nguvu za kufuatilia masharti yako yote kuona yanaendelea kutimizwa

Kila la heri.

Nimeipenda view yako Gaijin,
mi najua huyu jamaa komenti yangu ndo iliyomsikitisha kiasi cha kupelekea kuandika yote haya!
Na bwana stay real nimeelewa lengo lako ni zuri haswa hapo pa kuchange the system from outside.
Amount uliyo tayari kutoa ni juu yako na uwezo wako ila nina uhakika kuna binti/mwanafunzi somewhere who needs that 90,000/- per month kusustain kuishi kwake aweze kusoma. juzi nliongea na mtoto wa baba mkubwa yupo chuo gani kipya sijui huko bagamoyo akaniambia wamepewa tuition fees tu ila chakula wanajitegemea. nina uhakika mtu kama huyo akipata iyo fedha itamsaidia sana.

Your conditions: kwa jinsi watanzania wengi tulivyo, the conditions seem too enslaving ingawa mi nimependa mtazamo wako wa kumkip bize na ni vitu ambavyo akivifanya vitamjenga yeye mwenyewe and at the end unapofanya volunteering u creating networks na kujiongezea experience, let alone chances za kupata field work dat pays hence increasing ur own income.
Wengi tumezoea mtu ukiwa wa engineering basi unasoma yale ya engineering tu alafu basi. maisha sio engineering tu, au accounting or any other area of concentration for that matter.

Kwa sisi tuliobahatika kusoma nje halafu government inakulipia tuition pekee nadhani tunaelewa zaidi. Conditions za kupata that extra cash were waaaay stricter than this. I remember at some point nlitakiwa kufanya kazi 25 hrs per week outside my field.

My take;
umesema u r already committed, then let ur wife/partner do the vetting n follow up kama u stil want to help th girls. (itakuepushia watu kukuhisi vibaya, ni ubinadamu tu suiwalaumu)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama nilivyosema hapo juu am already committed somewhere hata sijui kama nitawahi onana naye, i just need to help wakuu

Kwani kusaidia ni lazima utoe masharti ya kipuuzi hivyo?acha utoto wewe hewa unavuta bure kuna
siku Mungu alishakupa masharti jinsi ya kuipata,kama unataka kusaidia peleka vituo vya kulelea watoto
yatima ili ubarikiwe"kwa watu wa aina yako Tanzania bila uzinzi itawezekana kweli?!!!!!!
 
Kwani kusaidia ni lazima utoe masharti ya kipuuzi hivyo?acha utoto wewe hewa unavuta bure kuna
siku Mungu alishakupa masharti jinsi ya kuipata,kama unataka kusaidia peleka vituo vya kulelea watoto
yatima ili ubarikiwe"kwa watu wa aina yako Tanzania bila uzinzi itawezekana kweli?!!!!!!

Katika masharti yalivyowekwa lipi ni la kipuuzi na kwa nini?
 
Kwa wale waliosoma nje ya nchi watakubaliana na mimi kuwa kuna scholarship za kila aina huko mavyuoni

1. Wanawake katika fani ya sosholojia
2. Waafrika chini ya jangwa la Sahara
3. Wanawake katika uhandisi
4. Wanaosoma chemical and processing
nakadhalika nakadhalika

Kwenye tukio hili, tatizo ni kuwa linafanywa kibinafsi na sio kitaasisi. Naamini wanawake watakaoridhika kupata scholarship hiyo ya elfu 90 kwa mwezi wapo, tena si kidogo, lakini ili ku-facilitate dhima yako pitisha kwenye Shirika lolote au NGO yoyote. Italirasimisha zaidi na bado utakuwa na nguvu za kufuatilia masharti yako yote kuona yanaendelea kutimizwa

Kila la heri.

Nimependa sana ushauri wako, maana unaonyesha ni namna gani ulivyo Results Oriented badala ya Blame Oriented. Tukipata watu wa aina hii ambao wana shape Ideas and plans na tukawatumia vizuri, hakika tutakuwa mbali sana ndani ya kipindi kifupi.

Thanks.
 
Hii thread kwa kweli imenisikitisha sana..michango ya watu kweli ni aibu kwa taifa....thumb up mkuru StayReal iknow unajisikia jinsi unavyosoma maoni wa wanaJF kwenyed thread hii...ila amini mkuru lengo lako litafanikiwa usikatishwe tamaa na watu ambao wameshakatishwa tamaa na serikali yao na wao wenyewe kujiona hawana pa kwenda....

Hawa wote wanaokukejeli mkuru achana nao.....kwanza hao sasa akili zao zinawaza uzinifu,ulevi na umalaya kwenye sikukuu ya noel na mwaka mpya......hizi ndio akili za watz wanaoshi bongo mkuu iknow utakuwa majuu...unaona watu walivyo busy,wadadisi wenye kutaka kujua na kupiga hatua ndio maana umekuja na this idea....lakini sijui umeiweka pasipo stahili au la......?

Mkuru StayReal hawa ndio wanaJF wanaotaka mabadiliko kuondoa mafisadi kwa kutu mia chama chao Chadema....ndio hawa hawa wanaompiga vita Raisi KIkwete na serikali yake kuwa haiwajali,fisadi na isiokuwa na muelekeo mkuru ndio hawa hawa WanaJF mkuu wanaojiita great thinker na hii ndio thinking capacity yao mkuru StayReal.....

Majority ni wakazi waliopo tanzania.....labda thred hii itapata michango hasi nyakati za usiku au weekend ambapo wengi wao watakuwa mbali na kompyuta za ofisini au wako kwenye klub za usiku wakilewa.Labda mkuu tuombe Mungu baadae kidogo wakija wanaJF wa majuu watakupa clue nzuri.....

Amini nakuambia wanaJF walioko bongo ndio wangekuwa mstari wa mbele kukusaidia kama hawakuelewa basi wangekuuliza kama great thinker wajua mpango mkakati wako ukoje.....sio kuandika uharo wa bata kama wanavyofanya great thinker hawa.....

Nimesikitika sana maana idea yako ndio inafanya kazi majuu na tigers contries....hawajui kama hii unayotaka kutoa sio scolarship ni just a grant itakayomuwezesha mlengwa kusoma vizuri na itaongeza idadi ya wasomi wanasayansi....wenzentu sasa hivi UK wana mkakati wa kuwafanya wanafunzi tangu kindergaten wapende masomo ya sayansi hasa hesabu...wanajua faida ya masomo haya.....

Imagine kama tungekuwa na Engineers wa kutosh,maDR wa kutosha tungekuwa wapi? hata gharama za ujenzi wa barabara zingekuwa chini....pesa nyingine ingepelekwa kwenye sekta nyingine....kuna faida yake kuwa na idadi kubwa ya mainjinia....nchi nyingi zimeendelea kwa kutumia sekta ya uzalishaji ni chache sana ambazo zimepiga hatua kwa kutumia services sekta.....angalia China waliazia wapi? someni green revolution ya china kati ya 1940 mpaka 1970's kile kilimo wangebweteka kwenye jembe la mkono angefika hapa walipo....wali turn kwenda kwenye kilimo cha teknolojia......

Korea,Taiwan miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi....hii leo wapo dunia nyingine...wameendelea vipi? technolojia imewabeba.....tecknolojia is one of the key factor of economy growth..hizo sumsung mnazotamba nazo bar zatoka kule,LG,Hytundai from Korea....tafitini mjiulize kwa nini east asia ni so rich....mkitaka nitafungua specual thread juu ya hilo....

Kwa hiyo jambo alilofanya mkuru StayReal ni mwanzo mzuri sio kubezwa na kejeli zenu....
 
Yo Yo, umeongea kweli ila umetutusi mno ebu punguza ukali wa maneno!
The fact kwamba wewe upo huko ulipo ni ili usaidie kimawazo jinsi wenzetu wanavyofanya ili kuhakikisha mtu anasaidika kwa kidogo kile kilichopo.
Ila umetutusi mno mzee....ebu edit kidogo basi!!!
 
Last edited by a moderator:
nafikiri chanzo cha tatizo utakuwa hujatatua. malezi ndio yanatakiwa kutiliwa mkazo. wadada wa siku hizi baadhi wanapenda kupewa hawataki kujishughulisha. wanatafuta pesa kwa njia rahisi. tukiwalea mabinti zetu kuwa wawajibikaji na wasiwe tegemezi hawatapenda kupewa kupewa vitu bila sababu na watakuwa na malengo na matumizi yaliyo sahihi kwa hicho kidogo wanachopata kwa halali.

ustistaduu na kutafuta status isiyo ya kwao ndio kunawafanya kuwa hivyo wananvyobehave.

malezi muhimu kuyabadili na kuwajenga kuwa independent than dependent.
 
usiogope mkuu siku hizi ni kuwa huru kama unataka k jana mwenzako nimekula msanii wa bongo move for just elfu sitini tu tena hiyo ameikuta bahati mbaya kwasababu huwa nina mgonga kwa thirty nyingine naficha coz akifika tuu anaanza kucheki kwenye suruali kama kuna pakee na atakayo ikuta ni halali yake alright otherwize kama kweli nia yako ni ya msaada big up coz kuna mmoja pale chuo alikuwa ni mke wa mtu ila tu kwasababu mme wake hakuwa na pakee basi watu tulikuwa tunajisevia halafu baadae unakuta yupo na msela anatumia pakee uliyo mpa inshort nchi imepoteza muelekeo dats why easiest kwa wanawake wengi sasas nchini imekuwa ni kufanya mapenzi na watu tofautitofauti bila kujali nini hatima yake ila tuu wanacho jari wao ni pesa tuu na hii ni kwa wanawake wengi wa mjini na iyo wanafunzi wa chuo tuu
 
May God bless you for just having thought for helping someone, even if some will discourage you but God will support. Am in the college and i understand how hard life is, especialy to the majority of us who have no neither moral support no parental support. Hope you succeed.
 
sasa nimeelewa kwann itatuchukua miaka yote ili kuweza kupiga hatua za maendeleo mbele.
kwa michango mingi iliyoandikwa hapa imekuwa ina negativity tu na wengi wakalishabihisha na ngono. sasa nimemini kiujazacho moyo wa mtu ndivyo alivyo.

kwanini mara zote watu tuhisi ngono tu ata pale inapokuja ziriaz issue?? kwann tuwaze mabaya eti ni kujikweza, kutafuta k za mdondo nk??

ninae prof mmoja ni mnigeria anaish marekani nilikuwa nae kwenye mkutano mmoja nje ya nchi wakti fulan, katika story nilimuuliza kwann anaish marekani na si nigeria? akanijibu, since when he was a 15yrs boy wazazi wake walifariki, akaish kwa tabu sana akiwa anasoma elementary school. alpofika college alishindwa kualipa ada akaomba msaada akapata mfadhili wa kwanza akamlipia ada tu, but kumbuka alihitaj pia kula na kuvaa so mantanence allowance alipewa na mtu baki kwa kigezo kwamba atakuwa ana volunteer kazi yyte na mtoa hela atamonitor.

goodlluck yule mwanafunzi katika kujitolea akapendwa na shirika moja. na ndipo lilipomchukua kwenda arekani, na akasomeshwa zaid and today ni prof.

kwangu mm naafiki idea yako and kama kweli kuna dada ambaye yuo siziaz basi atume pm kwa stay real.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom