Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

You teach someone how to fish not giving him/her fish
mkuu stayReal naomba kwa heshima na taadhima nikushukuru kwa hiyo post though ni ndefu but its worth reading ...nimejifunza new things from you ....guys google scholar is awesome try it....
 
Hii thread kwa kweli imenisikitisha sana..michango ya watu kweli ni aibu kwa taifa....thumb up mkuru StayReal iknow unajisikia jinsi unavyosoma maoni wa wanaJF kwenyed thread hii...ila amini mkuru lengo lako litafanikiwa usikatishwe tamaa na watu ambao wameshakatishwa tamaa na serikali yao na wao wenyewe kujiona hawana pa kwenda....

Hawa wote wanaokukejeli mkuru achana nao.....kwanza hao sasa akili zao zinawaza uzinifu,ulevi na umalaya kwenye sikukuu ya noel na mwaka mpya......hizi ndio akili za watz wanaoshi bongo mkuu iknow utakuwa majuu...unaona watu walivyo busy,wadadisi wenye kutaka kujua na kupiga hatua ndio maana umekuja na this idea....lakini sijui umeiweka pasipo stahili au la......?

Mkuru StayReal hawa ndio wanaJF wanaotaka mabadiliko kuondoa mafisadi kwa kutu mia chama chao Chadema....ndio hawa hawa wanaompiga vita Raisi KIkwete na serikali yake kuwa haiwajali,fisadi na isiokuwa na muelekeo mkuru ndio hawa hawa WanaJF mkuu wanaojiita great thinker na hii ndio thinking capacity yao mkuru StayReal.....

Majority ni wakazi waliopo tanzania.....labda thred hii itapata michango hasi nyakati za usiku au weekend ambapo wengi wao watakuwa mbali na kompyuta za ofisini au wako kwenye klub za usiku wakilewa.Labda mkuu tuombe Mungu baadae kidogo wakija wanaJF wa majuu watakupa clue nzuri.....

Amini nakuambia wanaJF walioko bongo ndio wangekuwa mstari wa mbele kukusaidia kama hawakuelewa basi wangekuuliza kama great thinker wajua mpango mkakati wako ukoje.....sio kuandika uharo wa bata kama wanavyofanya great thinker hawa.....

Nimesikitika sana maana idea yako ndio inafanya kazi majuu na tigers contries....hawajui kama hii unayotaka kutoa sio scolarship ni just a grant itakayomuwezesha mlengwa kusoma vizuri na itaongeza idadi ya wasomi wanasayansi....wenzentu sasa hivi UK wana mkakati wa kuwafanya wanafunzi tangu kindergaten wapende masomo ya sayansi hasa hesabu...wanajua faida ya masomo haya.....

Imagine kama tungekuwa na Engineers wa kutosh,maDR wa kutosha tungekuwa wapi? hata gharama za ujenzi wa barabara zingekuwa chini....pesa nyingine ingepelekwa kwenye sekta nyingine....kuna faida yake kuwa na idadi kubwa ya mainjinia....nchi nyingi zimeendelea kwa kutumia sekta ya uzalishaji ni chache sana ambazo zimepiga hatua kwa kutumia services sekta.....angalia China waliazia wapi? someni green revolution ya china kati ya 1940 mpaka 1970's kile kilimo wangebweteka kwenye jembe la mkono angefika hapa walipo....wali turn kwenda kwenye kilimo cha teknolojia......

Korea,Taiwan miaka ya 60 tulikuwa nao sawa kiuchumi....hii leo wapo dunia nyingine...wameendelea vipi? technolojia imewabeba.....tecknolojia is one of the key factor of economy growth..hizo sumsung mnazotamba nazo bar zatoka kule,LG,Hytundai from Korea....tafitini mjiulize kwa nini east asia ni so rich....mkitaka nitafungua specual thread juu ya hilo....

Kwa hiyo jambo alilofanya mkuru StayReal ni mwanzo mzuri sio kubezwa na kejeli zenu....


I am telling am very dissapointed na comment za watu hapa, just think about it hii nchi ina mabillionea wangapi! Lakini hakuna hata mmoja ambaye amejitolea hata kufanya chochote then watu kama sisi ambao tuko mbali tunajaribu kuchange that system but the negative comments nimepata mpaka nashangaa what happen to our great thinking. Thanks mkuu atleast kuna mtu mmoja anafikiria positively, I wont give up, let her let me down but nitakuwa nimejaribu mkuu
 
mkuu stayReal naomba kwa heshima na taadhima nikushukuru kwa hiyo post though ni ndefu but its worth reading ...nimejifunza new things from you ....guys google scholar is awesome try it....

Mkuu lakini unaona post za watu humu ambao tunajiita great thinkers ambao we want to change this country. Thanks mkuu though
 
Mimi naona ni wazo zuri sana. Nina mdogo wangu wa kiume namsomesha chuo kikuu kimoja hapa bongo. Kaniambia bro wala usipate shida kwa mwezi nitupie laki moja tu na wala si zaidi.
Nimefanya hivyo kwa miezi mitatu sasa ila nimegundua pamoja na photocopy photocopy naona kama haitoshi. Hivi mwezi huu nataka nimuongezee iwe laki moja na nusu kwa mwezi. Hiyo ni mimi mwenyewe nimefanya uamuzi huu.

Ninachoweza kusema kua kwa msichana anayeishi maisha ya natural pesa inatosha sana tu. Maisha ya natural na simple namaanisha, anakata nywele, misosi miwili kwa siku (anaskip mmoja kukeep figure, if you know wot ai meeen), muda mwingi yupo bize na kitabu na akichoka anapiga zake evening walks, na mambo mengine ambayo ni vigumu kuyaweka yote.
Na wanawake wa namna hii wapo tu mbona, very simple and natural. Ila kwa kweli hawa wanatoka familia za hali ya chini ambao kwao hata starehe hamna.

Ushauri wangu kwako hem ongeza kidogo hiyo fedha iwe angalau laki moja na nusu kwa mwezi yaani elfu 5 kila siku. Am sure huko ughaibuni uliko unatumia dollars na 150,000Tshs = 97 USD. Kwa mwezi wewe uaweza ukawa unaingiza say USD 1,000 minimum. Kwa hiyo utakua unakata 9.7% of your earnings. This z too small a percentage and fair to both parties.

Ni hayo tu

Haya ndio mawazo tunatakiwa kuwa nayo mkuu, i can take it to $100 kila mwezi, Lakini kumbuka mkuu am just adding something to what she already has am not offering a full scholarship, just a small way to help
 
Kwa wale waliosoma nje ya nchi watakubaliana na mimi kuwa kuna scholarship za kila aina huko mavyuoni

1. Wanawake katika fani ya sosholojia
2. Waafrika chini ya jangwa la Sahara
3. Wanawake katika uhandisi
4. Wanaosoma chemical and processing
nakadhalika nakadhalika

Kwenye tukio hili, tatizo ni kuwa linafanywa kibinafsi na sio kitaasisi. Naamini wanawake watakaoridhika kupata scholarship hiyo ya elfu 90 kwa mwezi wapo, tena si kidogo, lakini ili ku-facilitate dhima yako pitisha kwenye Shirika lolote au NGO yoyote. Italirasimisha zaidi na bado utakuwa na nguvu za kufuatilia masharti yako yote kuona yanaendelea kutimizwa

Kila la heri.

What about if i sent it directly to her mkuu! But wazo zuri will try to look into it
 
Mkuu hujasoma vyuo vya hapa nchini kwetu? nnavyoelewa kuna wengine wana kila kitu, ila shida yao ni dudu tu wala hawana shida na mlo wako. Ila kwa namna hiyo ya kutaka kumsaidia huyo mkosa mlo basi utampata mpata mlo na uroda ataendelea nao kama kawaida na hizo assignment zako atafanya tu. Sio wote wa shida ya mlo ndo wafanywe mkuu just to remind you.

Hili nalielewa sana mkuu ndio maana nikasema am just adding something small to help someone who real need the help
 
Kwa Majority walio respond to this thread, Nina conclude kuwa kwa mtanzania kuondokana na umasikini au kupata maendeleo itabidi tutegemee evolution, na si revolutions.

Maana kwa dharau na dhihaka wanayoionyesha inaleta taswira kuwa hatujui hasa shida za wengine. Tunalazimishana tuamini kuwa masikini katika Tanzania ni yule anayeshindwa kumudu kuweka mafuta katika gari lake, au yule anayeshindwa kumudu kupanga chumba cha shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa mwezi. Hatuamini, au tumeshahu kuwafikiria wale wanaokwenda kutafuta maji kwa umbali wa Km 20 kwenda na 20 kurudi, hatutaki kusema ukweli kuwa kuna wanafunzi wanavaa viraka na kwenda shuleni bila viatu, hatutaki kusema kwa sababu ni ukweli unaodharirisha. Ndivyo tulivyo hata katika tafiti hatutoi taarifa sahihi na matokeo yake kuanzishwa kwa mikakati au program zisizo kidhi mahitaji.

Unaweza ukaidharau shilingi 3,000, hiyo ni kwa mtazamo na viwango vyako, lakini sisi ambao tupo affiliated na maswala ya afya tunazijua kesi nyingi za wanafunzi wanaoanguka kwa njaa, au kuumwa magonjwa yasiyoeleweka kwa sababu ya kukkosa chakula kwa mtiririko sahihi.

Thanks mkuu, atleast there are few people who still believe in this country like you
 
Nimeipenda view yako Gaijin,
mi najua huyu jamaa komenti yangu ndo iliyomsikitisha kiasi cha kupelekea kuandika yote haya!
Na bwana stay real nimeelewa lengo lako ni zuri haswa hapo pa kuchange the system from outside.
Amount uliyo tayari kutoa ni juu yako na uwezo wako ila nina uhakika kuna binti/mwanafunzi somewhere who needs that 90,000/- per month kusustain kuishi kwake aweze kusoma. juzi nliongea na mtoto wa baba mkubwa yupo chuo gani kipya sijui huko bagamoyo akaniambia wamepewa tuition fees tu ila chakula wanajitegemea. nina uhakika mtu kama huyo akipata iyo fedha itamsaidia sana.

Your conditions: kwa jinsi watanzania wengi tulivyo, the conditions seem too enslaving ingawa mi nimependa mtazamo wako wa kumkip bize na ni vitu ambavyo akivifanya vitamjenga yeye mwenyewe and at the end unapofanya volunteering u creating networks na kujiongezea experience, let alone chances za kupata field work dat pays hence increasing ur own income.
Wengi tumezoea mtu ukiwa wa engineering basi unasoma yale ya engineering tu alafu basi. maisha sio engineering tu, au accounting or any other area of concentration for that matter.

Kwa sisi tuliobahatika kusoma nje halafu government inakulipia tuition pekee nadhani tunaelewa zaidi. Conditions za kupata that extra cash were waaaay stricter than this. I remember at some point nlitakiwa kufanya kazi 25 hrs per week outside my field.

My take;
umesema u r already committed, then let ur wife/partner do the vetting n follow up kama u stil want to help th girls. (itakuepushia watu kukuhisi vibaya, ni ubinadamu tu suiwalaumu)

Ndio hivyo mkuu, she knows I need to help someone. My idea ya kumkeep that busy ni kwa sababu niko nje so that is the only way naweza monitor, but nimependa ushauri wako!
 
What about if i sent it directly to her mkuu! But wazo zuri will try to look into it

Ukiliweka kitaasisi itakuwa rahisi kwako kumfuatilia mhusika pia itafungua njia ya watu wengine kujiunga na hiyo "scholarship fund" yako ili kusaidia na wengine
 
May God bless you for just having thought for helping someone, even if some will discourage you but God will support. Am in the college and i understand how hard life is, especialy to the majority of us who have no neither moral support no parental support. Hope you succeed.

That is what most people fail to see, I have been there before an I know hoe difficult life can be in college. I am not going to give up i have made up my mind I will try to help kwa uwezo wangu nilionao!
 
Haa!! great thinkers wengi wetu huyu jamaa hatujamtendea haki, kwanini tuwe na mawazo ya namna hii juu yake? Kwa namna hii itatuchukua miaka mingi kusonga mbele, jamaa kama angetaka msichana wa kufanyanaye ngono siniwengi tu kwanini asumbuke? I am sure jamaa anataka kusaidia tusiwakatishe tamaa watu wa namna hii, tuache mhusika mwenyewe akiona msahada una agenda nyingine ya kingono ataachana nao, wazo lako zuri mkuu usikate tamaa.
 
Yo Yo, umeongea kweli ila umetutusi mno ebu punguza ukali wa maneno!
The fact kwamba wewe upo huko ulipo ni ili usaidie kimawazo jinsi wenzetu wanavyofanya ili kuhakikisha mtu anasaidika kwa kidogo kile kilichopo.
Ila umetutusi mno mzee....ebu edit kidogo basi!!!
niwie radhi arifu ila ndio ukweli aisee....afu mie siko majuu arifu nakula vumbi kama wewe mavumbini..

weekend hii mkuru StayReal utapata michango ya maana na nimeshaiona....ikifika jumatatu sahau mkuu.....
 
Huu uzi hapa JF si mahali pake peleka FB au kwa yule uncle wenu!
 
mods ondoa hii kitu hapa ,bora ungewasaidia omba omba

Na hao ombaomba waliosaidiwa Arusha na bado wakamchinja kinyama mfadhili wao utasemaje?
Noamba kufahamu elimu yako kwanza. Mi sijasoma sana, ila la saba nimefia na ninajua kusoma na kuandika and most of all, reasoning.
 
Back
Top Bottom