Yep am ready for that, atleast nitakuwa nimejaribu kusaidia mkuu, there are so many people who have helped me na kunifikisha hapa nilipo, they just had that little faith and I never let them down!
- Awe ana wastani usiopungua 65
- Kila wiki lazima ajitolee sehemu yeyote sio chini ya masaa mawili, asifanye sehemu moja zaidi ya mara tatu ndani ya mwezi
- Kila mwezi lazima asome journal paper tatu topic ambayo nitamchagulia na aandike summary ya hizo paper
- Kila wiki lazima anipe report ya sehemu aliyojitolea
- Kila mwezi kutakuwa na report ya nini alifanya ndani ya huo mwezi
We utakuwa unaulimbukeni flani hivi, then ni mjivuni sana! Halafu utoto unakusumbuwa pia! Ila ukikuwa utaacha.
Hivi huyo mwanafunzi wa mwaka 3 na 4 atakae kuwa na muda wakutekeleza hayo masharti yako, na hizo assignments za courses zake azifanye saa ngapi? Project zake atafanya kwa muda gani? Are you ok? Yaani kwa Sh zako 3000 ndio utoe masharti kama vile wewe ndo unaeanza kumfundisha nini maana ya shule na yeye bado hajui maana ya shule! Hee kwa hizo sh 3000 zako ndo umtaftie chanzo cha kumla uroda...Mwehu we!
Mkuu kama nilivyosema hapo juu am already committed somewhere hata sijui kama nitawahi onana naye, i just need to help wakuu
Ungejua niko wapi mkuu, am too far hata sijui if i will ever see her, mbona guys mmemaindi sana hii inshu
Mkuu wazo lako si baya lakini sidhani kama ulisha fanya research vyuoni na kujua kweli wanashida ya chakula, nazani maelezo yangu umeyaelewa hapo juu, huo ndo ukweli vyuoni, wasichana wanataka kuishi maisha ya hali ya juu kabisa that is why inafikia mahali wana fanya njia za mdadala
You teach someone how to fish not giving him/her fish
Si dhani kama wale wakina Dada wanakosa pesa ya Kula, Ila chuoni ni zaidi ya kula, Vyuoni kuna Competition ya Kufa mtu kati ya wasichana,
Wasichana Vyuoni wanashindana asikumbie mtu na Mashindano yuao hayako kwenye kula bali ni kwenye vitu kama
Ndio maana
- Mavazi
- Saluni
- Simu
- Na vyombo vya Ndani,
Nakumbuka nikiwa chuoni MZUMBE nilikuwa nikienda kwenye room za Wasichana ambapo unakuta wasichana wa nne wana share room moja, kilicho kuwa kikiniacha hoi nin kwamba ndani ya room moja kuna TV nne, kuna Fridge nne, kuna majiko ma nne na **** Music systeam nne, Haya ndo maisha wanayo ishi wasichana vyuoni na room zao ukiingia unaweza fikilia uko Nyumbani make kuna kuwa hakuna tofauti na Nyumbani kuna ambao hudiriki hadi kununua SOFA na kupeleka hostel, haya yote ni Mashindano,
So Maisha wanayo ishi wasichana vyuoni ni tofauti na wavulana ambapo wavulana unaweza hata kugongea Dawa ya meno, unaweza kugongea sabuni unaweza hata kugongea mafuta ya kujipaka, lakini si kwa Masichana
hapa unaji contradict! Quite against this Chinese proverb! Giving money is giving fish. Why girls? Why engineering? Why one? Why 3000? Why assignments? Why talk to her? Tuliosoma philosophy tunasema, 'i smell a contra entry' in the making!
Wanakuponda hawajui shida na yawezekana hata chuo hawajafika chuo. Kuna watu siku mbili wanakunya maji na ya tatu ndo wanakula
Yep am ready for that, atleast nitakuwa nimejaribu kusaidia mkuu, there are so many people who have helped me na kunifikisha hapa nilipo, they just had that little faith and I never let them down!