Angalia na gharama za kuliendesha shirika, hio 100 itaua shirika chap sanaaa 😂Wafanye unit 1=100 maana yake 1000=10 unit... Ukitoa 10000= 100 unit, hiyo iwe kwa residential(majumbani) halafu huko viwandani napo wawafikirie....lakini kwa hivyo watu wataona umeme ni bora kuliko mkaa na gesi, watu watafunga ac majumbani pasipo hofu ya bill, mashine za kufulia hazitakuwa anasa tena kwa baadhi ya watu...kwa ufupi ghalama za maisha zitapungua. Lakini haya yote ni ndoto chini ya jini mtu mweusi !
Basi tuwanyanganye maua yetu hata hapa wamesha kata lisaa zimaHapa tulipo hatua umeme tangu asubuhi
Siyo kwamba wamefanya hivyo tusherehekee siku yao hakina mama!Bora leo naona iko vzr mama kaupiga mwingi
Nakubaliana na wewe asilimia Mia mojaSifa ziende kwa Marehemu Magufuli, kwa kutekeleza mradi wa kihistoria ambao wengine wote waliogopa kuukamilisha.
Yeye huyo huyo ndiyo alisema lile Bwawa liki kamilika bei ya umeme ita pungua.
After kifo chake Tanesco wamesema bei ya Umeme itabaki pale pale haita pungua.
Sifa zote ziende kwa Magufuli hata kama ni marehemu kwa sasa.
Hapana na faida watapata tu nzuri,makampuni tu ya simu tu yapo kiushindani tena mengi na faidia wanapata sembuse Tanesco hawana mshindani nchiniAngalia na gharama za kuliendesha shirika, hio 100 itaua shirika chap sanaaa 😂
VIP numbisa uko maeneo gan dada taja tujue tukufikieLabda ulipo,huku hadi muda huu haupo
Watanzania sio wanyongeIlala Ni kubwa taja eneo mkuu ufikiwe haraka na vujana wetu walio tayari kuwatumikia watanzania wanyonge
VIP numbisa uko maeneo gan dada taja tujue tukufikie
Huku Arumeru Arusha hauko tangia asubuhi. Huyu meneja wa TANESCO Arusha anauuza nchi jirani ya Kenya?Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani
Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi
Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale
Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu
Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno
Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious
Kwa SAS safarini mabibo DSM
0759085510
Watanzania Ni wanyonge San mnafanywa vyovyote na hamwezi lalamikapopotee huo s unyongeWatanzania sio wanyonge
Na huku niliko wamesha kata Toka saa kumiHuku ukonga tangu asubuhi hakuna umeme
Huyu Yuko nnje ya grade ya ahamie usaariverMbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?
Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?www.jamiiforums.com
Hatutaki siasa tunataka umeme wa uhakikaNi week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani