Tuwape Tanesco maua yako haraka

Una maana gani kka kumpa mtu maua Yale Ni dhambi kumbe
Tanesco kwa Vyanzo vyake ingekuwa inauza umeme Africa nzima let alone mgao Tanzania....

Niko Mbeya wilayani nimefika jana mchana umeme ulikuwepo ilivyofika usiku wakati mechi Yanga inaendelea kipindi cha pili ukakata umekuja kurudi sa 5 usiku. Asbh ya leo wamekata mpaka sasa hamna kwenye lodge wamewasha jenereta
 
Sawa uko wilaya gani mkuu mbyea Ina wilaya Saba Seema ufikiwe
 
Kodi
 
Bei ishuke kama ilivyokua mipango ya mwendazake.

Hii itasaidia kupunguza uharibifu wa mazingira maana majiko ya umeme yatatumika zaidi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi na mishe zangu nafanya bn zinanipa ulaji
Basi inaonekana hujaenda kidato kivile ila fresh wee njoo tuyajenge nilijuwa huna Kaz nikupe mchongo Happ Happ mabibo
 
Tanzania bila kiwango cha chini cha uzalishaji umeme cha 10,000 Mw bado safari ya kuupiga umasikini vita haijaanza.
Chini ya hapo ni kutuliza njaa tu.
 
Kwamba nikikwambia wilaya ndio utakuja kurudisha umeme? Anyways niko Usangu
Sasa mkuu Huko mashambani kwenye mpunga ndio unasema uko mjini anyway tulia utarud Kuna hitilafu kweny msongo wa kilovolts 3500 kwenye njia hiyo watu wako kazni
 
Tanzania bila kiwango cha chini cha uzalishaji umeme cha 10,000 Mw bado safari ya kuupiga umasikini vita haijaanza.
Chini ya hapo ni kutuliza njaa tu.
Babu mam ameongeza pesa Kuna bwawa Huko njombe nalo wanajenga kuleta megawatt 70 pia itaunganishwa kwenye grade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…