Tuwaonee huruma hawa vijana jobles

Tuwaonee huruma hawa vijana jobles

Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,242
Reaction score
1,793
Wakuu, unakuta kijana anaishi mikoa ya kusini au kanda za pembezoni huko. Halafu anaambiwa interview aje Idodomya, logistic costs inabidi familia zijichange afu atatakiwa ahudhurie interviews kadhaa kabla ya kubahatika kupata kazi.

Kivipi hapo yani, mtu anaweza tumia millions to attend several interviews, not to mention time, 3-5 years just roaming for jobs, mwisho wa siku depression, etc.

Something needs to be done here, rebellion groups huwa zinaanza kwa kupuuza interests za baadhi watu..
 
Wabarikiwe watu ambao wako mstari wa mbele kuwasemea the voiceless.

It means a lot.

Tusichoke kufanya hivyo mkuu.

If job interviews were money, most graduates would have been billionaires a long time ago.
 
Hii nchi Kwa Sasa kunamapinduzi mengi yanabidi yafanyike sio kisiasa tu maana akili za wasomi wetu Bado zinafikilia miaka ya sabini na wasomi wa Sasa chatgpt Kuna kitu inabidi kifanyike tukichukulia poa miaka ijayo ufanisi utakwenda na maji na ajira zirakwenda na maji regards graduate interview wawe wanafanya kimikoa, wilaya au Hata Hata Kata kuwafika wengi kuliko kwenda kuwarundika dodoma
 
True individual freedom cannot exist without economic security and independence. People who are hungry and out of a job are the stuff of which dictatorships are made. ~Franklin Roosevelt, 1944
 
Back
Top Bottom