Je, umeshawahi kufika Msumbiji??Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini raisi wa mozambiki aliomba tuwaonbee
Mattoke ya.metoka ya uchaguzi gey z wako barabaran siku ya 14 leo
Ofisi zimefungwq
Biashara zimefungwa
Wameyataka bado tuna nafasi nzuri ya kujifunza toka kwaoMaombi n silaha
Kama alivyokuja nchini raisi wa mozambiki aliomba tuwaonbee
Mattoke ya.metoka ya uchaguzi gey z wako barabaran siku ya 14 leo
Ofisi zimefungwq
Biashara zimefungwa
No justice, no peace.Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini Rais wa Mozambique aliomba tuwaombee
Matokeo yametoka ya uchaguzi Gen z wako barabarani siku ya 14 leo
Ofisi zimefungwa
Biashara zimefungwa
Kuna jamaa aliwahi andika,
Siku maiti zitakapo amka , hazitaogopa kulala tena
Kwa tz bado sana wabongo wengi waoga mm nikilewa natukana mtaa mzima mpaka viongozi wangu wa serikali ya mtaa still hawanichukulii hatua yoyoteWameyataka bado tuna nafasi nzuri ya kujifunza toka kwao
Nawaunga mkono Gen Z wa Msumbiji! Labda na matilatila ya kwetu yatajitambua!Je, umeshawahi kufika Msumbiji??
Hali tete ya maisha iliyopo Tanzania ni sawa sawa kabisa na jinsi hali ilivyo nchini Msumbiji.
We're in the same boat.
Njia pekee kabisa iliyopo ili kuweza kuleta mabadiliko katika nyanja zote kabisa za maisha ya Wananchi wa Msumbiji ni kuiondoa kwanza FRELIMO kutoka madarakani kwenye nchi hiyo, na kamwe FRELIMO haiwezi kuondolewa madarakani kwa njia za kidemokrasia.
Tuwaombee Wananchi wa Msumbiji ili wafanikiwe kwenye suala lao hili wanalopigania.
Kwa haya malegeza suruali usitegemee kitu kama hicho! Yako yamekalia scrub tu huku maisha yanaendelea kuwa magumu!Zamu ya Tanzania inakaribia si muda mrefu.
Taratibu Mkuu acha uongo,.Tanzania kamwe hatuko sawa na Msumbiji,we're not in the same boat.Je, umeshawahi kufika Msumbiji??