John Mnyika
JF-Expert Member
- Jun 16, 2006
- 712
- 1,240
John,
Idea nzuri, lakini vitu viwili.
1.Mwanzo naona kama umeanza ghafla, kulikuwa na kitu kabla ya hapo na huu ni muendelezo au ndiyo "fiery oratory" on paper?
2.The strategy is short on specifics, just exactly how will we make them pay?
Siku hizi kuna vijana wanalipwa ili kujaza 'nyuzi'.Mijadala ya enzi hizi ilikuwa mifupi ...kufikisha replies 100 ni shughuli.lakini comments zilikuwa zina thamani sana.
Utasikia wanaharakati wanaibuka.Tuchukua stance ya china, baada ya kulipa/kufilisiwa, mafisadi kupigwa risasi au kunyongwa hadi kufa, ili wafutike kabisa,maana hao wamelaaniwa.
Utasikia wanaharakati wanaibuka.Tuchukua stance ya china, baada ya kulipa/kufilisiwa, mafisadi kupigwa risasi au kunyongwa hadi kufa, ili wafutike kabisa,maana hao wamelaaniwa.
Mijadala ya enzi hizi ilikuwa mifupi ...kufikisha replies 100 ni shughuli.lakini comments zilikuwa zina thamani sana.
Huko lumumba mmewaajili hawa hapa kutwa kucha kumtukana lowasa Trol jf,Lizabon,BarbarosaSiku hizi kuna vijana wanalipwa ili kujaza 'nyuzi'.
Yaani haileweki wanachokihitaji hawa jamaa.Tulipendekeza (JJ) tuwalipishe enzi hizo.
Yupo jamaa ameanza kudeal nao ili walau sheria ichukue mkondo wake pasipo uonevu.
Wale waliotupendekezea adhabu kwa mafisadi ninawashangaa wanawatetea as if hawakutuibia.
JJ na timu yako hebu sasa semeni mnataka nini?
Nimejikwaa tu hapa kwenye hii thread. ..sina nia mbaya.Hizi taarifa nani anazitoa tena huku?