Yeah, sio mtu anaongea kama anambembeleza mgonjwa, we need actions. Mugabe angempa walau Lissu, Msigwa au Lema kdg ingeleta impacts, maana CCM wanajiwekeza ka watatawala miaka 400Huyu Mashinzi hamna kitu....bora Tundu Lissu angekua katibu Mkuu.
Katibu Mkuu kwa chama kama Chadema anatakiwa awe more "aggressive" sasa huyu jamaa dah
Kweli Mkuu ama angefuta nyayo kama za Dr. Slaa alikua mkali pia...huyu jamaa angetakiwa abakie "behind the scenes" aratibu mamboYeah, sio mtu anaongea kama anambembeleza mgonjwa, we need actions. Mugabe angempa walau Lissu, Msigwa au Lema kdg ingeleta impacts, maana CCM wanajiwekeza ka watatawala miaka 400
Nakumbuka nilikuwa nikickia Slaa anakuja wilayani kwetu enzi hizo nipo Kiteto, nilifunga ofisi mapemaaa nawahi nafasi ya mbele kumckiliza Slaa. Ila huyu Mashinji hata akija huku Rombo Mkuu nilipo hata idadi ya watu wa kata tu hatupotezi muda!!Kweli Mkuu ama angefuta nyayo kama za Dr. Slaa alikua mkali pia...huyu jamaa angetakiwa abakie "behind the scenes" aratibu mambo