Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,804
Hebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.

Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?

Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
 
Kinana ni Kiongozi mkubwa na anafahamika Kwa umahiri wake vijiji vyote kila sehemu. Ila huyo mashinji hafahamiki hata hapa kinondoni. Yaani Kuna wafanyakazi wa cdm bado hawamjui. Kinana yuko vizuri kila nyanja kutokana na kuwa kwenye chama chenye sera nzuri
 
Ni dhihaka kubwa sana kumliganisha kinana na mchoma sindano mbowe ana lake jambo kumweka mashinji ila chama kimedoda
 
Hebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.

Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?

Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
Messi(kinana) vs msuva( mashinji), acha huo upuuzi
 
Mbowe sijui alimtolea wapi huyu Mashingi! Hana weledi wowote kwenye siasa
 
Hebu tuwalinganishe hawa katika nyanja za:
1. Utendaji katika vyama vyao.
2. Uwajibikaji
3. Ujengaji wa hoja
4. Mafanikio yao.

Dr Mashinji na Ndg Kinana ni makatibu wa vyama vikubwa hapa nchini. Ni watendaji na wanaobeba ujengwaji wa vyama kwa ufupi ndio wanaoshika roho za vyama vyao. Je, unawaonaje katika uimarishaji wa vyama vyao?

Wajirekebishe wapi ili kuiinua Tanzania yetu?
Kinana na aliyekuwa katibu mkuu. Sio huyu mashinji
 
Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
 
Back
Top Bottom