kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii.
Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi ya watu wajanja wanaofanikisha ajenda zao kupitia kwao.
Taarifa zilizothibitishwa na DC Msando zinaonyesha kuwa viongozi hawa "matepeli" wanawachangisha waumini hawa pesa nyingi wakiwadanganya kuwa wanalipia sehemu ya kufanyia ibada baada ya makanisa yao kufungwa kumbe wanadanganya. Njaa zao zinawasukuma maumini wao waingie kwenye mgogoro na serikali.
Kusudi lao kuu ni sadaka sio kuabudu. Serikali waokoeni watu hawa maana iko siku mtajilaumu sana kwa kuchelewa kuchukua hatua.
View: https://youtu.be/0ePWwrQY49k?si=II5FhZYuKBmFH0Ul