Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,874
Umegundua sasa?Wewe miyeyusho kumbe....
Umegundua sasa?Wewe miyeyusho kumbe....
Hapana natilia mkazo. Unapenda tuumize vichwa wenzio.Umegundua sasa?
Hapana natilia mkazo. Unapenda tuumize vichwa wenzio.
Mwandiko wako nimeupenda.NaUnGa MkOnO hOjA!
Karibu.... (ooopppsss)Mwandiko wako nimeupenda.
Nashukuru umeona wapi ulipokosea.....Usirudie tena.Karibu.... (ooopppsss)
Nashukuru umeona wapi ulipokosea.....Usirudie tena.
Unabahati sana.....[emoji85][emoji85][emoji85]
Ala!Unabahati sana.....
Kama nakuona vile unavyoniweka pending...Wengi tungependa iwe hivyo 1,2,3,4.....
Lakini mabadiliko na misukosuko ya Maisha inatufanya tunaishia vinginevyo.....
1,3,4,2.
1,2,4,3.
1,4,3,2.
1,3,2,4.
Wajitahidi kufuata 1,2,3,4 ....ila wakivuruga pia wanaweza kusawazisha.
Mimi 1,4,2,3 ndio inanihusu. ..nasijaharibu kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi japo inahitaji will power na usimamizi wa Mungu kwakweliWajitahidi kufuata 1,2,3,4 ....ila wakivuruga pia wanaweza kusawazisha.
Mimi 1,4,2,3 ndio inanihusu. ..nasijaharibu kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi jua kama nilimkwaza mtu, nacho kumbuku ni upendo ulizidi.Kweli hukuharibu kitu, kuwakwaza wowote? Hongera!
Na support ya familia piaHata Mimi japo inahitaji will power na usimamizi wa Mungu kwakweli
Unaonaje ukiwatungia mashahiri yakawa yanawakumbusha kila siku saa kumi na mbili kabla ya kuamka??
mi graduu sikuwa nazimind kiivo.Ndio ata la form 4# hujavaa