Tuwajue wanasayansi nguli kutoka Urusi (USSR)

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,697
Hakika ni miaka mingi mabeberu wa magharibi wametuaminisha kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwao.

Tumewasoma sana akina Newton, Einstein kama wanasayansi nguli duniani. Hata wanauchumi bora wametuhabarisha wengi wametoka kwao akina Thomas Malthus et al.

Sasa naomba kuwajua wanasayansi mahili na wachumi bora baada ya kuona kumbe Russia iko vizuri kila nyanja.

Inawezekana sababu ya kutojua lugha ya Usoviet ndio sababu ya kutowajua.

Naomba mwenye kuwajua ashushe nondo nifaidi raha ya hawa jamaa.
 
Ukiacha Mendeleev na Pavlov, wanasayansi wa Russia hawajulikani sababu kazi zao hazijaleta mchango mkubwa (critical) katika ukuaji wa sayansi na teknolojia kwa ujumla kama nyenzo muhimu katika maisha ya kawaida ya binadamu.
 
Russia hawakuwa na wagunduzi wa sayansi ila wao walichokuwa wanakifanya ni kutumia iliyokuwa shirika lao la kijasusi la iliyokuwa USSR ikiitwa KGB kuwaibia teknolojia kutoka nchi za magharibi,ni hicho tu ndicho walichokuwa wanakifanya na hata leo na China vilevile.
 
Mkuu wewe tukikuibia siri za kuiunda F-35 utaweza kutuundia copy yake?
 
Wanasayansi wa Russia ni ngumu kazi zao kujulikana kwa sababu kazi zao zinakuwa mali ya serikali na public nzima ya warusi. Hamna mgunduzi anasimama nyuma ya ugunduzi kama mmiliki. So mrusi akigundua kitu inafanywa kuwa Urusi imegundua kitu.

1; Founding father wa chemistry-Mikhail Vasilyevich Lomonosov
2: Periodic table- Dmitri Ivanovich Mendeleev.
3: Electric light bulb- Alexander Nikolayevich Lodygin i
4: World's first aircraft - Alexander Fedorovich Mozhaysky
5: First man made satellite
 
Russia hawakuwa na wagunduzi wa sayansi ila wao walichokuwa wanakifanya ni kutumia iliyokuwa shirika lao la kijasusi la iliyokuwa USSR ikiitwa KGB kuwaibia teknolojia kutoka nchi za magharibi,ni hicho tu ndicho walichokuwa wanakifanya na hata leo na China vilevile.
Ila kupitiamo wamewapata wanasayansi🏃🏃
 
Hakika ni miaka mingi mabeberu wa magharibi wametuaminisha kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwao.

Tumewasoma sana akina Newton, Eintein kama wanasayansi nguli duniani. Hata wanauchumi bora wametuhabarisha wengi wametoka kwao akina Thomas Malthus et al.

Sasa naomba kuwajua wanasayansi mahili na wachumi bora baada ya kuona kumbe Russia iko vizuri kila nyanja.

Inawezekana sababu ya kutojua lugha ya Usoviet ndio sababu ya kutowajua.

Naomba mwenye kuwajua ashushe nondo nifaidi raha ya hawa jamaa.
Kumbe hujui Yahudi ndiye wanangoza urusi kwa sayansi ndio sababu warabu hajawahi shinda vita Yeyote na Yahudi
 
Wakati nasoma Kahororo Sekondari miaka ya tisini kulikuwa na Makamu Mkuu wa Shule anaitwa Mwl. Kaluka. Huyu alisoma Urusi na alikuwa mwalimu wa Hisabati. Yeye kusahau kufunga zipu ya suruali au vifungo vya shati lilikuwa jambo la kawaida sana. Uzuri wake alipokuwa akikaimu Ukuu wa Shule alipenda kusema, "Wapishi pikeni wali wanafunzi wale mchele. Hapanwa. Nimekosea. Wapike pilau wanafunzi wale mpunga, WHAT! Nimekosea tena!!!!!

HONGERA KWAO MLIOSOMA URUSI!!!
 
Dionýz Ilkovič

mtaalam wa quantitative polarography
download.jpeg
 
Wanasayansi wa Russia ni ngumu kazi zao kujulikana kwa sababu kazi zao zinakuwa mali ya serikali na public nzima ya warusi. Hamna mgunduzi anasimama nyuma ya ugunduzi kama mmiliki. So mrusi akigundua kitu inafanywa kuwa Urusi imegundua kitu.

1; Founding father wa chemistry-Mikhail Vasilyevich Lomonosov
2: Periodic table- Dmitri Ivanovich Mendeleev.
3: Electric light bulb- Alexander Nikolayevich Lodygin i
4: World's first aircraft - Alexander Fedorovich Mozhaysky
5: First man made satellite
6. Kalashnikov- aligundua bunduki ya AK-47.
 
Upupu na matango pori Prorussia mnayolishana yanawageuza mazombi na jokers
Wanasayansi wa Russia ni ngumu kazi zao kujulikana kwa sababu kazi zao zinakuwa mali ya serikali na public nzima ya warusi. Hamna mgunduzi anasimama nyuma ya ugunduzi kama mmiliki. So mrusi akigundua kitu inafanywa kuwa Urusi imegundua kitu.

1; Founding father wa chemistry-Mikhail Vasilyevich Lomonosov
2: Periodic table- Dmitri Ivanovich Mendeleev.
3: Electric light bulb- Alexander Nikolayevich Lodygin i
4: World's first aircraft - Alexander Fedorovich Mozhaysky
5: First man made satellite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom