Hivi kuna cm made in Russia?
Kuna makosa ya uandishi....Nilivoona unataja Alps kuwa Poland nimegundua we nimpiga porojo. Usihangaike kuniletea ushahidi mwingine kaa nao tu. Nature ya huu uzi sio porojo na stori za vibarazani
Ni sawa kwa mtazamo wako kwa sababu swali langu linavunja UTI wa mgongo wa hoja yako. Sasa ili nifinyange kabisa hoja yako Soma Aya ya kwanza ya sehemu ya utangulizi (Introduction) ya chapisho lililo kwenye link hii hapa chini.Sio warabu wala Yahudi
Dr Vladmir ShikaDr Shika
Huyo hajui hata kudañganya Polañd is not found among 8 Alpine countries i.e Monaco Italy germany Austria liechtenstein france............ hivyo yaweza kuwa Uzi wote ukawa uongoNilivoona unataja Alps kuwa Poland nimegundua we nimpiga porojo. Usihangaike kuniletea ushahidi mwingine kaa nao tu. Nature ya huu uzi sio porojo na stori za vibarazani
Nchi za magharibi zinawadidimiza wataalamu wa RussiaRussia hawakuwa na wagunduzi wa sayansi ila wao walichokuwa wanakifanya ni kutumia iliyokuwa shirika lao la kijasusi la iliyokuwa USSR ikiitwa KGB kuwaibia teknolojia kutoka nchi za magharibi,ni hicho tu ndicho walichokuwa wanakifanya na hata leo na China vilevile.