FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Inalindaje huo usalama? Dhidi ya nani?Kulinda usalama wa mwanadamu
Inalindaje huo usalama? Dhidi ya nani?Kulinda usalama wa mwanadamu
Kwa hiyo tunailinganisha urusi na mataifa yoote duniani au ni urusi na marekani? Hapa lazima uipe heshima urusi maana ukilinganisha uwingi wa vumbuzi na wanasayansi kwa kutenga nchi moja moja siyo rahisi kuipuku urusi.Russia hakuna wanasayansi zaidi ya kukopi teknolojia ya Israel na Marekani
maabara zoote urusi na wataalamu ni Wayahudi....Walichofanya US ni kuiba andiko la huyu mzee wakalitafsiri kwa kingereza then Lockheed wakaunda ndege ya kwanza yenye tech ya stealth kwa ajili ya ku demonstrate hii teknolojia iliyoitwa Have Blue na baadae wakaja na ndege vita ya F-117 mwaka 1988View attachment 2566521
Thibitishamaabara zoote urusi na wataalamu ni Wayahudi....
Hio kitu ndio inaongoza kutanguliza watu wengi zaid makaburini kuliko siraha yoyote kuwai kuumbwaKulinda usalama wa mwanadamu
Conditioned reflex.Pavlov kagundua nn?
Nikuulize swali?!Thibitisha
Halafu unajua mtengenezaji wa bomu la nuclear ni Myahudi kwa ordêr ya hitler?.....
Kawaida sanaConditioned reflex.
Ukombozi wa africaHiyo AK-47 imekuwa na mchango upi wa maana katika historia ya maisha ya binadamu kwa ujumla?
Manufaa ya uvumbuzi wa bunduki ya AK-47 katika maisha ya binadamu unaweza kulinganisha na yale ya ndege, simu, electric bulb ama computer?
Ndo umethibitisha hivi? Mi nilitegemea utaniorodheshea hizo lab na wanasayansi wake kuonyesha uhalali wa hoja yako. Huu ni uzi wa wanasayansi so sitegemei siasaNikuulize swali?!
Kwa nini vita kati ya waarabu na Yahúdi mara zoote mwarabu anashindwa huku akisaidiwa silaha na mrusi?
Halafu unajua mtengenezaji wa bomu la nuclear ni Myahudi kwa ordêr ya hitler?.....
Sikulazimishi ujue ninacho kijua!Ndo umethibitisha hivi? Mi nilitegemea utaniorodheshea hizo lab na wanasayansi wake kuonyesha uhalali wa hoja yako. Huu ni uzi wa wanasayansi so sitegemei siasa
Hezbollah ni wayaudi au waarabu?Kwa nini vita kati ya waarabu na Yahúdi mara zoote mwarabu anashindwa huku akisaidiwa
Sio warabu wala YahudiHezbollah ni wayaudi au waarabu?
Nilivoona unataja Alps kuwa Poland nimegundua we nimpiga porojo. Usihangaike kuniletea ushahidi mwingine kaa nao tu. Nature ya huu uzi sio porojo na stori za vibarazaniSikulazimishi ujue ninacho kijua!
Ila ujue hiki kidogo tu!
Baada ya hitler kuwaagiza wanasayansi wake ämbao walikuwa Wayahudi kuwa anataka kutawala dunia hivyo wamtengenezee mabomu na.5 ili kontinenti likileta ubishi alifute duniani!
Wakamhakikishia inawezekana ila awatafutïe eneo salama!
hitler akawaita majenerali wake akawaamuru waivamie Poland na kuchukua milima ya Alps alikowaficha wale wanasayansi wa kiyahudi kwa kazi maalum!
Baada ya muda Wanasayansi wakatengeneza mabomu mawili!; na kuvujisha siri ya hitler kwa Waingereza ambao waliwatuma makomandoo na helcopter kuvamia ile maabara na kuchukua yale mabomu!
Wanasayansi wa Uingereza kuyachunguza yale mabomu wakaona ikitokea Ajali kisiwa cha ungereza kitafutika wakamuomba Marekani Awatunzie ule Mzigo!
hitler baada ya kuona Wayahudi wamevujisha siri yake akaanza kuwauwa na kuwatupa kwenye gas chembers....
Na kutangaza vita ya dunia....
Ndipo vita na mauaji ya Wayahudi kukolea wanasayansi wa Kiyahudi wakaenda UKIMBIZINI URUSI NA MAREKANI.....
Sio Lazima uamiñi wala sitaki Mbango!
Ukipenda nikuletee kisa cha Marekani kujiunga vita kuu ya pili ya dunia na kisa cha kui-Nuke Hiroshima Nagasaki na nani kamshauri....