Tuwajue wanasayansi nguli kutoka Urusi (USSR)

Tuwajue wanasayansi nguli kutoka Urusi (USSR)

Ukiacha Mendeleev na Pavlov, wanasayansi wa Russia hawajulikani sababu kazi zao hazijaleta mchango mkubwa (critical) katika ukuaji wa sayansi na teknolojia kwa ujumla kama nyenzo muhimu katika maisha ya kawaida ya binadamu.
Pavlov kagundua nn?
 
Vipi Wanasayansi wa Afrika unakotoka? Wameleta mchango gani au wewe ni Mzungu wa Magharibi?
 
Hakika ni miaka mingi mabeberu wa magharibi wametuaminisha kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwao.

Tumewasoma sana akina Newton, Eintein kama wanasayansi nguli duniani. Hata wanauchumi bora wametuhabarisha wengi wametoka kwao akina Thomas Malthus et al...
Yan unavyowaandika hao wanasayansi kidharau 😅😅😅
 
IMG_5632.jpg

Mendeleev, periodic table
 
Hawa hapa wanasayansi nguli kutoka Russia
Kalashnikov-AK47
Moseley- modern periodic table
Mendeleev-pioneer periodic table and chemical engineering.
Hiyo AK47 inaongoza dunian kwa mauzo, kwa sabab inaoneka kuwa bora kuliko zote.
 
Hata mbinu ya kujitangaza nayo ni akili. Kwani kama Russia angekuwa na uwezo wa kujitangaza kama west angeacha kufanya hivyo? Shida yako ni chuki tu kwa mataifa ya magharibi
 
Ukiacha Mendeleev na Pavlov, wanasayansi wa Russia hawajulikani sababu kazi zao hazijaleta mchango mkubwa (critical) katika ukuaji wa sayansi na teknolojia kwa ujumla kama nyenzo muhimu katika maisha ya kawaida ya binadamu
Wewe ni zezeta kabisaaaaa
 
Hawa hapa wanasayansi nguli kutoka Russia
Kalashnikov-AK47
Moseley- modern periodic table
Mendeleev-pioneer periodic table and chemical engineering.
Hiyo AK47 inaongoza dunian kwa mauzo, kwa sabab inaoneka kuwa bora kuliko zote.
silaha ya magaidi hiyo
 
Back in the days yes but miaka hii bora kuliko zote ila ni cheap and easy to operate
 
Russia hawakuwa na wagunduzi wa sayansi ila wao walichokuwa wanakifanya ni kutumia iliyokuwa shirika lao la kijasusi la iliyokuwa USSR ikiitwa KGB kuwaibia teknolojia kutoka nchi za magharibi,ni hicho tu ndicho walichokuwa wanakifanya na hata leo na China vilevile.
Acha upumbav wewe hebu ficha ujinga wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom