Tuwajue wanasayansi nguli kutoka Urusi (USSR)

Tuwajue wanasayansi nguli kutoka Urusi (USSR)

Russia hawakuwa na wagunduzi wa sayansi ila wao walichokuwa wanakifanya ni kutumia iliyokuwa shirika lao la kijasusi la iliyokuwa USSR ikiitwa KGB kuwaibia teknolojia kutoka nchi za magharibi,ni hicho tu ndicho walichokuwa wanakifanya na hata leo na China vilevile.
Nikimuona mtu yoyote anabishana na sayansi za magharibi namuona kama mwehu. Westerners wapo mbali mno.
 
Wanasayansi wa Russia ni ngumu kazi zao kujulikana kwa sababu kazi zao zinakuwa mali ya serikali na public nzima ya warusi. Hamna mgunduzi anasimama nyuma ya ugunduzi kama mmiliki. So mrusi akigundua kitu inafanywa kuwa Urusi imegundua kitu.

1; Founding father wa chemistry-Mikhail Vasilyevich Lomonosov
2: Periodic table- Dmitri Ivanovich Mendeleev.
3: Electric light bulb- Alexander Nikolayevich Lodygin i
4: World's first aircraft - Alexander Fedorovich Mozhaysky
5: First man made satellite
Mvumbuzi anayetajwa kuvumbua ndege yenye mafanikio ni ndugu wawili wa Kimarekani (Wright brothers). Mrusi uliyemtaja hakuacha uthibitisho wowote ule wenye kuonesha kuwa ndege yake ilipaa kwa mafanikio kabla ya hao watu wawili.

Pia, electric bulb ni uvumbuzi wenye watu wengi sana nyuma yake wakiwemo kina Humphry Davy, Thomas Edison pamoja na Nikola Tesla.
 
Hawa hapa wanasayansi nguli kutoka Russia
Kalashnikov-AK47
Moseley- modern periodic table
Mendeleev-pioneer periodic table and chemical engineering.
Hiyo AK47 inaongoza dunian kwa mauzo, kwa sabab inaoneka kuwa bora kuliko zote.
Hiyo AK-47 imekuwa na mchango upi wa maana katika historia ya maisha ya binadamu kwa ujumla?

Manufaa ya uvumbuzi wa bunduki ya AK-47 katika maisha ya binadamu unaweza kulinganisha na yale ya ndege, simu, electric bulb ama computer?
 
Hao wanasayansi wa Kirusi ni lazima wawe na damu ya Kiyahudi. Wayahudi ndio watu wenye teknologia ya hali ya juu duniani.
 
Russia hakuna wanasayansi zaidi ya kukopi teknolojia ya Israel na Marekani
 
Hiyo AK-47 imekuwa na mchango upi wa maana katika historia ya maisha ya binadamu kwa ujumla?

Manufaa ya uvumbuzi wa bunduki ya AK-47 katika maisha ya binadamu unaweza kulinganisha na yale ya ndege, simu, electric bulb ama computer?
Kulinda usalama wa mwanadamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom