Tuwaite Vibaka au Vikaba?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,833
2,790
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya neno "Vibaka" Tunawaita vibaka kwa sababu ya kazi yao ya kupora watu huko mitaani, kazi halisi wanayofanya ni kukaba na kupora vitu mbali mbali kama vile saa, simu, fedha na hata mavazi ya huyo anayeporwa. Swali langu liko hivi. Tuwaite "Vibaka kwa kuwa wanabaka" ama tuwaite "Vikaba kwa kuwa wanakaba?"
Je mwanaume akiporwa na hao vijana atakuwa amebakwa?
 

Hapo pagumu malkia!
 

kudos.
nafikiri kuna haja ya kupitia upya hii misemo
 
Kama jina linatokana na kitendo chenyewe then there is the need to change this kuwa vikaba badala ya vibaka kwani wao wanakaba na hawabaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…