Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,055
- 3,314
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya neno "Vibaka" Tunawaita vibaka kwa sababu ya kazi yao ya kupora watu huko mitaani, kazi halisi wanayofanya ni kukaba na kupora vitu mbali mbali kama vile saa, simu, fedha na hata mavazi ya huyo anayeporwa. Swali langu liko hivi. Tuwaite "Vibaka kwa kuwa wanabaka" ama tuwaite "Vikaba kwa kuwa wanakaba?"
Je mwanaume akiporwa na hao vijana atakuwa amebakwa?
Je mwanaume akiporwa na hao vijana atakuwa amebakwa?