Tuwaeleweje dada zetu mnaoweka pini puani?

Mtoa mada inaonyesha wewe ni kati ya watu ambao hawajawahi kufika mikoa ya pwani kama vile MTWARA au LINDI.

Ushauri:

Fanya Safari Nenda Kati ya Mikoa tajwa hapo Juu ili ukapate elimu juu ya(kipini) kutoboa pua.
 
Mi ukitoboa pua tu hata kama unasura nzuri kama Britney spears au tako kama Cherokee natema mate chini ptuuuu!!

Vaaa kila sehemu vipini ila sio puani naona nati zimelegea kabisa

Mikamasi inakutoka na kipini chako kipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli aseh, maana tangu utoton bint anatoboa pua anaweka kipini, hauna uhusiano na uhun kama huyu jamaa asemavyo.
Mtoa mada inaonyesha wewe ni kati ya watu ambao hawajawahi kufika mikoa ya pwani kama vile MTWARA au LINDI.

Ushauri:

Fanya Safari Nenda Kati ya Mikoa tajwa hapo Juu ili ukapate elimu juu ya(kipini) kutoboa pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi tu.

Kwa kipindi kirefu sana, kuna manzi aliweza kuiteka akili yangu kwa kiwango kikubwa sana....sema nikawa na muweka kiporo, kutokana na mambo yangu kuwa lafu. Sasa juzi kati hapa nimemkuta ananing'iniza kieleni puani....from there amu yote ya kudet nae ikaishia hapo hapo. Sasa kichwani nikawa najiuliza....sasa huyu mwanamke amekosa nini??!! Mbona kama ni uzuri anao tena OG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwana je
IMG_20190325_125033.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada inaonyesha wewe ni kati ya watu ambao hawajawahi kufika mikoa ya pwani kama vile MTWARA au LINDI.

Ushauri:

Fanya Safari Nenda Kati ya Mikoa tajwa hapo Juu ili ukapate elimu juu ya(kipini) kutoboa pua.

Mikamasi inakutoka na kipini chako kipo

Mbna huo ni utamaduni wa enzi na enzi? Hakuna tatizo hata kidogo, ni urembo tu kwa dada zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona tunapishana umri sana hapa. Kwanza kuna tofauti kati ya kipini (huwekwa kwa juu ya pua) na kishaufu (huvaliwa kwenye huu "ukuta" kati ya hizi tundu mbili za pua).
Pili-haya mambo yapo toka zamani sana hasa mikoa ya kanda za pwani kuamzia Tanga na kushuka, wakati tu wadogo enzi hizo uvaaji wa hivi vitu ulikuwa ni kawaida sana na ni parti ya urembo tu. Na wanaopendeza na vipini ni wengi tu kutegemea ni cha aina gani.
Tatu hakuna uhusiano kati ya uhuni na hivyo vitu kiasilia labda kwa siku hizi kama watu wanavaaa kwa nia nyingine.
Nne kwa wapenzi wa muziki -mcheki Ferre Gola nae anavaa, sasa sijui yeye katolea wapi hiyo. Kuna mwimbo wake ana -collabo na dada wa Kenya. Sijawahi actually kuona wanaume wakivaa hivyo ukiacha huyu mkaka, tena anavaa kishaufu.
 
Kila MTU na taste na preference yake

Kama wewe unawependa kimpango wako

Kwangu Mimi mwanamke akivaa kipini puani namtema ptuu nahisi kinyaa naweza tapika au kustimulate mwili mithili ya allergy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila MTU na taste na preference yake

Kama wewe unawependa kimpango wako

Kwangu Mimi mwanamke akivaa kipini puani namtema ptuu nahisi kinyaa naweza tapika au kustimulate mwili mithili ya allergy

Sent using Jamii Forums mobile app

Mikamasi inakutoka na kipini chako kipo
Mkuu najaribu kupiga picha ya mdada amevaa kipini huku kamasi zinamtoka-naona haiji kabisa labda awe ni mchafu asiyejitambua.
Mchango wangu zaidi ilikuwa kuonyesha kwamba hivyo vitu vipo sikunyingi na kuna tofauti kati ya kipini na kishaufu. Na kwa vipini ni kweli kuna vinaowapendeza na wengine hawapendezi. Sikuzungumzia kuhusu vishaufu kabisa na hivi nadhani wewe ndio vinakuchefua kabisa kwani ndio huvaliwa huko kamasi zinakopitia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom