Tuwaeleweje dada zetu mnaoweka pini puani?

Tuwaeleweje dada zetu mnaoweka pini puani?

Ni urembo tu wapo wengine kinawapendeza.

Sasa usiombe ukakutana na mdada aliweka hereni kwny mashavu ya K...kuna diaspora mmoja nilikuta kaweka hiyo kitu yani wakati naingia chumvini nlikuwa najiona kama natembelea yale makumbusho ya watumwa kule bagamoyo maana kuna yale madude walikuwa wanafungiwa mnyororo yapo kama bile vihereni wanavyoweka kwny papuchi
 
Nasemaga nina roho ngumu ila mzee umenizidi

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Kuna jambo ambalo me huwa nafikir then sipati jibu la uhakika, kuhus hawa dada zetu wenye tabia ya kuweka pin puani.Hivi kwa mwanamke anajielewa anaweza fanya ujinga kama huo wa kuweka au kutobo pua??

Ukifuatilia kwa makin utajua kuwa wenye hii tabia ni malaya, machangudoa, baamedi nk haya ndo mambo yao.

Na kwa mwanaume ambae anajielewa sidhan kama ataruhusu mpenzi/ mke wake afanye ujinga wa kiwango cha lami kma huu.

Mwanamke anaejielewa na mwenye akili na ambae ni mke mtarajiwa hawez toboa pua. Kwangu mimi wanawake wa dizain hii ni wale ambao hawajatulia sijui nyie maoni yenu mnasemaje hili jambo...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Umri wako tafadhali.
 
Nasemaga nina roho ngumu ila mzee umenizidi

you may not start conversation with the following recipient;Tairus

Hahahahaha.
Mimi nilishajiapia sinyonyi mtu papuchi, wacha nionekane nimepitwa na wakati

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bado najiuliza uhusiano wa kutoboa pua na uhuni uko wapi?

Kama hushangai wakitoboa masikio, kwanini ushangae wakitoboa pua?

- KANA -
Shida tunakuwa na complications za ajabu, shida ipo wapi kama mwanamke kwa mila mfano watasaidia anaweza kutoboa sikio mala mbali au tatu matundu makubwa tu, shida ni nini kutoboa pua akajiwekea kipini,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom