Ooyooo ukisikia maendeleo ya nchi hii au miaka hamsini ya maendeleo yamepatekana basi ndo hii Rushwa na hakuna kengine kilicho patikana na hii maendeleo ya Rushwa haitaondoka hata tupige makelele aina gani hata kwa sauti zetu zifikiei mbingu saba ni bure na huku tunamtafuta alio turoga na kumbe ni sisi kwa sisi hii kuwondoka kwake labda ni mwisho wa Dunia hii hapo tena ni safi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.