Ni kweli kabisa lakini wa zamani ulikuwa waraha bin starehe na wala haujui uliotoka wapi siyo wa sasa mara iptl mara dowan na kila aina ya majina utasema ni utitiri wa makampuni tena wa sasa ni kerro tu na mezengwe na tena ni wepesi wa kupandisha bei
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.