Tuwachole.....Mchungaji Mtikila yuko wapi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
kp17122013.jpg
 
Ha ha ha.. Mchungaji Mtikila naona amepotezwa na maharamia ambao wameendelea kuipa nguvu ile hoja ya kwamba kila mtu ana bei yake.. Sadly Mtikila yeye alikuwa so cheap..

Ila enzi zake Mtikila alikuwa ana ushawishi mkubwa sana.. Nilikuwa ninaona kwenye mikutano yake wasikilizaji wake wakipatwa na mzuka kiasi cha kuweza kutenda lolote pasi na hofu wala shaka.. Nadhani yeye ndie alieasisi majina ya --------- na mlala hoi (i stand to be corrected)..
 
ataibuka tu, atakuwa anatafuta pakutokea ambapo atakuja na kesi ya kuzuia uchaguzi wa katiba ya ccm....
 
Ha ha ha.. Mchungaji Mtikila naona amepotezwa na maharamia ambao wameendelea kuipa nguvu ile hoja ya kwamba kila mtu ana bei yake.. Sadly Mtikila yeye alikuwa so cheap..

Ila enzi zake Mtikila alikuwa ana ushawishi mkubwa sana.. Nilikuwa ninaona kwenye mikutano yake wasikilizaji wake wakipatwa na mzuka kiasi cha kuweza kutenda lolote pasi na hofu wala shaka.. Nadhani yeye ndie alieasisi majina ya --------- na mlala hoi (i stand to be corrected)..

Huyu jamaaa nilikuwa namuelewa sana, aisee. Sijui yupo wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom