Ule uzi sijui ulifutwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Heee shouz mpaka jamaa limekuota lazima ana kitu moyoni juu yako.
Ntakusaidia kukitafuta hadi tukipate tuone ni nini[emoji23][emoji23][emoji23].
Naomba link ya huo uzi dear mi sio wa long humu sijauona[emoji23][emoji23]
Ndo mana nikajiuliza huyu coca hii jeuri anaitoa wapi kumbe msela angu mwenyewe ndo kakupa jeuriiii[emoji23][emoji23]
IamBrianLeeSnr kumbe eeeh?
Ulishababisha nikawa sina amani pale tu napo ona reply’s zako kwenye uzi wowote naupita speed sana😂😂😂😂😂😂Ndyooo sasa unakataa nn? Hadi nkaanza kukuchambaaaa, ukome kuzoea watu hovyo au kukurupukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila siku ile nilikuchambaaaa uwiiiiiih, na niliku shushua haswaaaa.
Sasa mie ndo niko serious?? Wee na Clepatina mdumu milele, ntakua MC ktk harusi yenu.
Ewaaah hapo umenena vizuri sana! 😍😍😍😍Sasa mie ndo niko serious?? Wee na Clepatina mdumu milele, ntakua MC ktk harusi yenu.
Niichachue vyedii harusi ya Ex wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaaa usichukulie serious sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nisamehee bureeee wallah.Ulishababisha nikawa sina amani pale tu napo ona reply’s zako kwenye uzi wowote naupita speed sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeaaaah Ex nimekubali kumuachia Clepatina, ila mpe upendo km ambao nilikupa mie.Ewaaah hapo umenena vizuri sana! [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wala usiwaze nilishasamehe siku nyingi sana😍😍😍😍😍Hapanaaaa usichukulie serious sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nisamehee bureeee wallah.
Sometimes huwa nakuwajee sijuii., nizoeee Ex baba tamuu.
Ulidondosha chozi 🤭Yeaaaah Ex nimekubali kumuachia Clepatina, ila mpe upendo km ambao nilikupa mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu ya mapenzi ji [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sitaki kiumbe mwingine adondoshe chozi juu yako, nimedondosha mie imetoshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteeeeWala usiwaze nilishasamehe siku nyingi sana[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee haya tyuuh.Ulidondosha chozi [emoji2960]
Pole sana kwa kukukwaza mtu wangu!
Hata sikuwaza ingekuwa hivi nisamehe wangu[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji7][emoji7]
Ule uzi sijui ulifutwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walitema shomboo, watu walitukanaaa balaaaa, na mie nilipoona natukanwa sana nkashuka naye acha nimchambe na kumshushua.
Ilikua hatariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee Coca!Sasa mie ndo niko serious?? Wee na Clepatina mdumu milele, ntakua MC ktk harusi yenu.
Niichachue vyedii harusi ya Ex wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani uniachie makombo shosti😂😂.Yeaaaah Ex nimekubali kumuachia Clepatina, ila mpe upendo km ambao nilikupa mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu ya mapenzi ji [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sitaki kiumbe mwingine adondoshe chozi juu yako, nimedondosha mie imetoshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie natukanwa bila sababu, yeye alisema alichokua anajisikia, wakati huo mie hata sijui km kuna jamaa ananiota na ananipendaaaa, woiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni breaking niuz kwangu ujue shosti.
Ukute jamaa anapenda kina nyie hlf anasumbua kina Tinah bure[emoji23][emoji23]
So Yeye ndo alisababisha ukatukanwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli nina love kubwa sana moyoni mwangu kwa mtu yeyote ila hisia za mapenzi zipo kwa wanawake 100%😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ni breaking niuz kwangu ujue shosti.
Ukute jamaa anapenda kina nyie hlf anasumbua kina Tinah bure😂😂
So Yeye ndo alisababisha ukatukanwa???😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ameshaniachaa huyooo, kanifukunyuaa wee sahivi amekimbilia toleo LA kwanza, mie wa toleo la 2 ni fake.Weeee Coca!
True love neva die.Ex gani?Nyie hamuachani nyie[emoji2]
Huyo wako wangu yupo katulia ananizoom tu[emoji23][emoji23]
Shouzzz nshakuachiaaa huyo mwanaume na kasema anakupendaa balaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani uniachie makombo shosti[emoji23][emoji23].
Wee endeleeni tu [emoji23][emoji23]
Sasa utakubalije akufukunyue hlf akuache na wewe😂😂.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ameshaniachaa huyooo, kanifukunyuaa wee sahivi amekimbilia toleo LA kwanza, mie wa toleo la 2 ni fake.
Basi atuoe wote🤣.Shouzzz nshakuachiaaa huyo mwanaume na kasema anakupendaa balaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungemwambia Kuna mchongo unausikilizia😀😀Akipiga Tena Unasema Bado subiri wiki ijayoKwenye hela hawa watu ni hatari Sana. Kuna mmoja nimejuana nae ndani ya wiki iliyopita kitu Kama Alhamisi, baada ya kuwa single kwa muda nikaona ngoja nipate mtu wa kupunguzia majanga haya. Aisee mpaka Leo ashanilamba Kama kilo tatu hivi. Na bado sijaonesha hata nia ya kumtongoza imebidi nichange gia angani.