Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Sasa namrukia huko huko huyo clepatina wakooo, kwann aniingilie kwa baba tamu wangu? Yeye amekosaa wa kwake??

Akuje hapaaa anielezeeee.
Kwa heshima na upendo nilionao kwako kamwe siwez shea dushe na wewe.🤣Huyo ni wako shoga wasitugombanishe.Tena nitakusaidia kumchunga nyakunyaku wasikuibie🤣
Mkabe asichoropoke🤣
 
Kwa heshima na upendo nilionao kwako kamwe siwez shea dushe na wewe.Huyo ni wako shoga wasitugombanishe.Tena nitakusaidia kumchunga nyakunyaku wasikuibie
Mkabe asichoropoke
watu na udugu wetuuuuuu, nyaku nyaku wepiiii?? Kwangu hapanaaaaaa.
Nishavuka hizo level.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom