Elections 2010 Tuwachambe Nakaaya na Mtatiro

Nahisi utakuwa shoga,tukutane travertine magomeni pale week end,ntakuwa niko counter nina mzuzu mrefu sana ukiniona utanitambua tu ntakusolvia matatizo yako.

sio fair kama umekasirishwa go use the toilet, post all your anger in it..sio kubwatuka namna hii!
 
nak9.jpg

JK aking'olewa imekula kwako Mrs. Politician
 
Mimi nilisikitika sana habari za nakaaya kujitoa chadema nikajua tu kwamba mafisadi wameshamchakachua
 
Nahisi utakuwa shoga,tukutane travertine magomeni pale week end,ntakuwa niko counter nina mzuzu mrefu sana ukiniona utanitambua tu ntakusolvia matatizo yako.

Sensa mwenyewe shoga.

Nilishakuona hata mimi ya kwako matatizo mbona ulishindwa kuyasolve.
 
Kijana yeyote mwenye akili timamu hawezi kuhama CHADEMA na kujiunga na Chama Cha Mafisadi. Ila kama amekimbilia kutafunwa sawa maana "UKITAKA KULA LAZIMA ULIWE KIDOGO" Lakini sina maana hiyoooooooooo:nono:

Mwenzie vicky kamata ndo ivyo keshapata viti maalum.... nak - aya itabidi avute subira kidogo,, aonyeshe jitihada halafu baadaye atapata kazawadi...... Kaaaaz kwelkwel!!!! sijui nilie :A S cry: au nicheke:evil:
 
Inabidi ALIWE(na JK au Makamba) ili naye ALE(Apate Ubunge bado kuna 10 wa Rais)
 
Au wana JF, hasa Malaria Sugu, munaonaje?

Maana hawa vijana wamefulia kwa kukikana chama makini Chadema

Hapana hakuna haja ya kuwachamba maana katika demokrasia kila mtu ana haki ya kuchagua chama anachokipenda. Hawa wawili walikuwa na haki ya kuchagua chama wanachokikubali kama ambavyo wanachama wa CHADEMA walivyochagua kuwa wanachama wa chama hicho..
 
Inabidi ALIWE(na JK au Makamba) ili naye ALE(Apate Ubunge bado kuna 10 wa Rais)

Hivyo 10 vya rais navisikilizia akikosa nitajua hajitumi kazini!!!!!! Mak - amba anapenda sana mchezo huo!!! Ila yale makunyanzi sipati picha...:bowl::bowl::bowl: shughuli ipo!!!!!!!!
 
Hivyo 10 vya rais navisikilizia akikosa nitajua hajitumi kazini!!!!!! Mak - amba anapenda sana mchezo huo!!! Ila yale makunyanzi sipati picha...:bowl::bowl::bowl: shughuli ipo!!!!!!!!

Atapiga scrub saluni...usijali sana na ikibidi mechi itakuwa usiku
 
Duh kweli Nakaaya ni aibu tupu nadhani anakosa sehemu ya kuficha uso wake.Kuna binti pia aliyekuwa katibu wa Chadema Igima Mwanza siku mbili kabla ya kura akarudi CCM nasikia kajificha ndani tangu matokeo ya Masha kubwaga kutangazwa
 
Back
Top Bottom