Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

Najaribu kufikiria Dunia bila michepuko ingekuwaje sipati jibu..
Tujiulize tu, je michepuko inasababishwa na nini hasa?
1. Tamaa zetu wanaume kwa wanawake?
2. Mahitaji ya kimwili kwa wanawake kwa wanaume?
3. Uwiano wa me vs ke kuwa tofauti hvy kulazimu ke kujirahisisha kwa me ili nao wapate sitirika?
Nk
 
Yaani mimi hata sijui. Huwa nachepuka tu.
 
Ondoa shaka kabisa kwenye hilo. Am sure wapo.

Na wala usiwaze sana, kwamba inawezekana vipi. Just believe kwamba ni MAAMUZI TU yanayotokana na malezi, mazingira au hobby.

Nadhani ungesema TAMAA, hapo ningeunga mkono. Maana ni kweli wanaume wote tuna tamaa.
Sina uhakika na hili lako hasa hii jamii yetu ya wanaume wa Kiafrika. Wapo kweli wanaume wa aina hii lkn nafsi yako inajua zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dar- kigali unatoa vidumu sita
dar-Bujumbura vidumudar-kampala vidumu 7
dar- lubumbashi unaanzia hapo hapo dar mpaka ukifika Tunduma ushachuja vi4, kule kwa wazimbabwe unazibariki pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah of course inawezekana mojawapo ikawa tamaa. Lkn pili wanaume tuna mihemko ya haraka sn ya kihisia mzee baba! Ndo maana kichwa cha chini kikichachamaa na km huna ubavu wa kujicontrol hisia zako ktk mapenzi unasikia jamaa kabaka ajuza, mtoto mdogo(astaghafirullah, ashakum si matusi). Wengine ni ufahali nk. Ila mazingira ya maisha ya sasa unasemaje na hawa viumbe ke wanavyoleta changamoto!?
Ondoa shaka kabisa kwenye hilo. Am sure wapo.

Na wala usiwaze sana, kwamba inawezekana vipi. Just believe kwamba ni MAAMUZI TU yanayotokana na malezi, mazingira au hobby.

Nadhani ungesema TAMAA, hapo ningeunga mkono. Maana ni kweli wanaume wote tuna tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah of course inawezekana mojawapo ikawa tamaa. Lkn pili wanaume tuna mihemko ya haraka sn ya kihisia mzee baba! Ndo maana kichwa cha chini kikichachamaa na km huna ubavu wa kujicontrol hisia zako ktk mapenzi unasikia jamaa kabaka ajuza, mtoto mdogo(astaghafirullah, ashakum si matusi). Wengine ni ufahali nk. Ila mazingira ya maisha ya sasa unasemaje na hawa viumbe ke wanavyoleta changamoto!?
Asante kwa kuelewa point yangu mkuu.

Ukweli ni kwamba, sisi wanaume tunatofautiana hapa "UWEZO WA KUJIKONTROO, DHIDI YA TAMAA YA KUNGONEKA..." Hapa ndipo tunapoweza kutenganisha kundi la wanaume wachepukaji(chui) na wanaume watulivu(joka bisa nje-ndani chatu).

Kwa msingi huo, ni wazi kwamba wanaume wote duniani tunatamaa ya kungonoka, na inakuwa kubwa pale tunapokiona kifaa cha kungonoka (mwanamke). Ila sasa kulingana na sababu mbalimbali, ikiwemo uwezo wa kifedha, malezi, mazingira, historia ya mahusiano ya kimapenzi, aina ya kazi na hobby ya mtu. Ndipo tunapata wanaume waliotulia na wasio tulia.

Seat down and think critically, i hope utaelewa zaidi hiki ninachokiongea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom