Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,269
- 5,669
Theoretically ni hvo but practically ni nullHahahah wanawake wa siku hizi wako tofauti sana Bro...mnoo...sio kwa nia mbaya ila ndo uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Theoretically ni hvo but practically ni nullHahahah wanawake wa siku hizi wako tofauti sana Bro...mnoo...sio kwa nia mbaya ila ndo uhalisia
Kiroho safi na nyie mnachapiwa...
Mana ohh mi mke wa mtu jamaa nae adakia na me mme wa mtu...basi mwishowee ngoma droo
Inasikitisha sn
Hahah wanawake wabeijing hawa hahahah acheni tu...mi mwenyewe huwa naonea huruma wanaume wa zama hizi...ni sheeeda...
Ni kweli,vipi lakini uko poa mremboHahah wanawake wabeijing hawa hahahah acheni tu...mi mwenyewe huwa naonea huruma wanaume wa zama hizi...ni sheeeda...
Wanawake ni wazuri kuficha siri wala hutojua hadi watoto utalea
Kuwa wawili ina kadhia zake mwanaume anashindwa kujigawa ipasavyo...mwishowe mwanamke anapata bwana mwingine wa kumsaidia mumewe ilhali bado yuko ndoaniNadhani mada umeielewa vibaya. Mm nazungumzia suala la kukubali na hatimaye kuhalalisha kuwa mke rasmi. Wewe dada, mke na mpenzi vema ukubali muwe wawili kuliko kujidanganya
Mi niko safyyy
That's awesome mdada,nimekupenda bure maana Una good analysisMi niko safyyy
Kwani unafikiri hata sidi tunatosheka!! Basi tu tunaamua kukituliza.
Watulivi wengi ni wanawake wa zamani sikuhz kila mwanamke anajishughulisha anakutana na wanaumeKwani unafikiri hata sisi tunatosheka!! Basi tu tunaamua kukituliza.
Macho hayana pazia...wewe kunioa si guarantee ya wewe kutotamani Hilo najuaDada suala la uwiano huo hb achana na theory nenda ktk nadharia zaidi. Basi pita hata ktk taasisi i ayihusima na masuala ya takwimu uangalie hilo kwa hapa Bongo.
Ukija suala la upendo, ni hv mm kuwa na upendo na ww hainizuii kuwa na upendo na Christina. Hy yote ya uvumilivu na blaah blaah nyingine ht kama nitakuwa na ww na mwingine vitabaki constant!
Tambua mwanaume ni tofauti sn na mwanamke. Nyie mnapenda kitu kimoja at par! Lkn wanaume twaweza kuoenda kitu zaidi ya kimoja at par
Bila makelele yaani.Kwa nguvu za kiume zipi?..
Wengi hamjui kufurahisha hata mwanamke mmoja tu....
Tunawatizama tu na sie tunajilia vyetu kimya kimya
Kwakweli, nani akae ateseke na ukame wakati maji yapo tele!!Watulivi wengi ni wanawake wa zamani sikuhz kila mwanamke anajishughulisha anakutana na wanaume
Umsumbue anakuvutia danga lake fastaa
Zamani polygamy ilikua rahisi mazingira yaliruhusu
woiiiKwakweli, nani akae ateseke na ukame wakati maki yapo tele!!
Acha waendelee kujifariji tu. Uzuri sie tuna adabu hatufanyi kwa kuwakomoa hivyo hawatojua.
Ndio hivyo, hutupoi wala hatuboi. Kiroho safi yaani.woiii
hili la kutotosheka kuna mawil.. moja uwezo mdgo wa jamaa au jamaa kapta chombo kipya so kwako anatimiza t wajibu.Kwani unafikiri hata sisi tunatosheka!! Basi tu tunaamua kukituliza.