Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

Shunie
Hawezi kimbia amejifunza na anaendelea kujifunza mengi kupitia hadithi simulizi na hekaya kubwa zaidi Katina jukwa hili.


Ss kwa nn huwa mnapagawa sn ukigundua km jamaa hakwambii? Na kwa nn akikwambia unatishia kusepa mazima kwa wazazi wako?
 
Kwakweli, nani akae ateseke na ukame wakati maji yapo tele!!
Acha waendelee kujifariji tu. Uzuri sie tuna adabu hatufanyi kwa kuwakomoa hivyo hawatojua.
Labda mwanamke alokaa home bila kutoka kabisaaaa
Lakini hawa kila asbh au mara kwa mara yuko anajitaftia rizq ahh lazma atongozwe...ndo hapoo wanaume nao wanapangwaa
 
Habari wanajf!
Niende kwenye mada husika moja kwa moja. Jamani wanaume kuna wakati tuwe wawazi tu katika mahusiano yetu kuwa ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kuwa na mke mmoja! Najua wapo watakaotoa povu na wengine kusema wanaume masikini ndiyo wanaoendekeza hii kitu lkn si kweli, kama dume rijali, shababi la nguvu, eweee dada yangu usitegemee utakuwa peke yako ktk ndoa.

Hao tunaosema matajiri hawana mambo hizi, nao ni wachepukaji wakubwa tu ila sema 'wanakula mizigo classic' sn na wanalia mbali hukooo. Nenda Dubai na maeneo mengine mazuri ya kujiachia ndo utashangaa. Celebrity anatoka hp swaga kibao naenda shopping Dubai kumbe alishafanyiwa booking kule anaenda kufanya kazi tu.

Tuachanae na hao, hebu cheki hawa wengine. Kaoa lkn kutokana na dini yk inambana sn anaona isiwe shida anaamua kurudi shamba kwao huko kuoa ndoa ya kimila kuhalalisha tu ili ale 'mzigo' kiroho safi bila longolongo. Swali ina maana hy mmoja aliemuoa hamtoshelezi?

Ukija upande huu mwingine Alhamdulillaah umepewa ruksa kabisaaa kuoa kuanzia "ithnan, thalatha wa ruba'a ukiona sio mwadilifu basi anza na 'wahiid'!

Wapo dada zetu na wapenzi wetu mtakuja mie hubby wangu hv na vile nakuhakikishia mpe mwaka mmoja ukizidi sn mwaka wa pili ktk ndoa yenu, kama ni shababi na rijali hasa bhasi tambua km hana wa kukaa nae muda mrefu anakuwa mzee wa 'hit and run'! Hk maofisini ndo balaa kabisaa unakosema anakuwa busy kutwa nzima!

Simply, nakushauri tu mwanaume mwenzangu kama una zaidi ya mmoja fanya jitihada tu za kuhalalisha badala ya kujifichaficha!
Ni DHANA tu.

Wapo wanaume wasiokuwa na hobby hiyo....ingawa ni wachache, ila wapo.

#Naweza nikajisimamisha kama mfano kwenye hilo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom