MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,518
- 39,095
Hatakufundisha tena soma kwa umakiniAlieelewa anisaidie kunielewesha
Una hoja, usikilizweUna uhakika hiyo mimba niyako?
Mkuu complication za mimba zinahusiana vipi na UKIMWI?Achana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Kamwagia kwa ndanialiyeelewa hapa please naomba ufafanuzi zaidi..
ilaa ndege katibu 😂Naunga mkono hoja.
"Mimi napendeza hata nikivaa kondom", by kontawa.