Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

Polisi wa Kibongo wanafurahisha sana!!! wanaacha kutumia nguvu kumtafuta MO akiwa haonekani wanakuja kuhangaika kuwahoji watu leo wakati mtu kapatikana, Hizi nguvu wanazotumia leo wazielekeze kimtafuta Ben Sanane, Azory na wengine wasiojulikana walipo.

Mkuu Richard;

Familia ya Mo na Makamba ni marafiki wa kipindi kirefu. January kupata taarifa mapema ni kutokana na ukaribu wa familia zao.

Suala la sukari, mafuta ya kula kama ni kweli ni dhahiri Mo alifanya makosa, alivunja sheria hivyo kusingekuwa na nguvu ya kumteka bali wangeenda front..

Suala la ardhi either amelipata kwa kuiba/ubabe/ufisadi ni matokeo ya makosa ya serikali ya CCM huko nyuma hivyo kusingehitaji ubabe aliofanyiwa ili tu arudishe ardhi hiyo.

Suala la magunia ni la kweli kabisa, ingawa pia nakubaliana na mengine uliyoyasema inawezekana pia hayo yametumiwa pia ili kunegotiate the deal..
 
Usihangaike sana na hizo dots tena.
Jamaa keshamaliza kila kitu.
Keshazikusanya dot zake majuu.
Sasa ndio kinaanza kuwakaView attachment 907898
Hizi micro c si ndo wasabato huwa wanazipinga eti ni chapa ya mnyama,
Jamaa huwa mburula wale,
Ona sasa faida za hii kitu,
Wakati nyie mnahangaika kutembea na mamtu makuuuuubwa mwenzenu anakakipandikizi kanarekodi kila kitu
 
Mwalim Nyerere. aliwahi kufikishwa Mahkama za Umoja wa Mataifa kisa ..madeni aliyokopa kwa wazungu kuendelea nchi!

Alipofika kule alisema" hizo pesa walizotukopesha walizipata kwetu ..kupitia rasilmali na nguvu zetu!
kwa hiyo ni wameturudishia wenyewe na hatuta walipa!"
Na hakuwalipa kweli!
Tehteh umenifanya nifurah mkuu
 
Akitaka roho yake anyamaze kimya!
Kama anawamwaga hadharani..basi wahame kwanza ukoo mzima!
Watawala moto na wataungua wengi zaidi wale waliotumwa tu!
 
Fanya kazi kwanza uboreshe maisha yako halafu wanaume tutskushushia nondo za laana na madini yaliyoshehen
Nani amekwambia nina maisha magumu???
Akili zako na jina lako jiwe mtupu ww
Hata sina haja na nindo zako za laana.
 
Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..

1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.

2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..

View attachment 906438

3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.

4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.

Sasa tuje kwenye nadharia:

5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448

6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.

7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*

8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..

9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.

Karibuni tujadili..

Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica
It make sense ndiyo maana Zitto alisema baada ya ile conference jamaa anajua alipo
 
Nasikia kumbe kuna hela baadhi ya wafanya biashara wakubwa waliombwa kila mmoja kutoa wenzake wakatoa yeye nasikia alisema hawezi kutoa hiyo hela maana analipa kodi nyimgi na kubwa hivyo akafanyiwa umafia huo.hii nimeipata sehem nyeti kwa mtu ambae kwa kweli alivyokuwa anaongea huenda kama kuna kaukweli maana hapo alipo ni sehem nyeti
Ndiyo maana TRA wametoa orodha ya walipaji wakubwa kodi nchini katika kutapatapa
 
Awamu yangu tajiri anaweza kufanywa chochote
Yeye mwenyewe sitajiri Huyu Ustazi wa Chemistry. Watu wana msemo, jihadhari na MTU anamsotea mwenzie kidole Vitatu vinamuangalia yeye! Haya yote hadi maneno yake yanavunja KATIBA ya Jamuhuri.
 
Wasalaam wanabodi.. Hivi ni nyepesi nyepesi tu nizijuazo. Twende tusafiri pamoja..

1. Mo ana miliki hekari zaidi ya 90,000 za mkonge ambazo pia anatumia mkonge kutengeneza magunia.

2. Mo mwaka jana amekopesha serikali/vyama vya msingi magunia yenye thamani zaidi ya billion 10.. Mpaka anatekwa alikuwa hajalipwa na alisumbuana sana na serikali..

View attachment 906438

3. Mo mwaka huu aligoma kukopesha serikali magunia yake, serikali ikategemea magunia kutoka India. Wakala aliyeleta magunia kutoka India trip 1 tu akachemsha kodi za bandari, trip ya 2 mzigo ukamshinda ukabaki bandarini, Mo akaenda kuununua wote akaenda kuuweka store.

4. Serikali ikakosa magunia, hasahasa kwenye msimu huu muhimu wa korosho ambao mwaka jana kwa kodi moja tu ya (export levy) serikali ilidhurumu/iliwarusha wakulima zaidi ya Billion 200.

Sasa tuje kwenye nadharia:

5. Serikali baada ya kukosa magunia, ikabidi ianze kurumbana na Mo awapatie magunia. Mo labda aligoma akishinikiza alipwe pesa zake.. Serikali nayo ikatunisha misuli..
View attachment 906448

6. Baada ya kutokukubaliana, Mo akatekwa, ukizingatia msimu wa korosho tayari na magunia ya kutosha hawana. Mind you; Korosho kwa sasa ndio inaingiza pesa nyingi za kigeni kama sio nyuma ya utalii basi ni zaidi ya utalii.. kukosekana kwa magunia kutaadhiri ununuzi na usafirishaji wa korosho zilizununuliwa.

7. Naibu waziri wa ardhi akaenda Korogwe kwenye mashamba ya mkonge ya Mo akitishia kuyagawa kwa wananchi. *mind you, mashamba hayo ndio huzalisha hayo magunia*

8. From my source, juzi maghala yaliyoifadhi magunia yalifunguliwa na magunia yakapakiwa. Mmoja wa dereva aliyepakia magunia kuyapeleka Masasi ni rafiki yangu..

9. Deal done; Mo akakubali kushindwa hivyo akaachiwa aende zake.

Karibuni tujadili..

Cc: Pascal Mayalla Salary Slip @brittanica
Nimependa aina yako ya uandishi.Inafanya msomaji apende kuendelea kusoma mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom