Tuuache utamaduni wa kumfanya Marehemu kuwa wa maonesho

Wanafanya hivyo ili kuwezesha kila anayetaka kwenda kuuona mwili aweze kwenda. Wakifanya vingine italeta madaraja hadi kwenye kuaga marehemu. I.e watakaoweza kuaga ni wale kwenye high class pekee.

Afu kwani mwili wa marehemu una shida gani? Kama haujaharibika hakuna tatizo lolote.
 
Mtu anapo kufa kuna taratibu za kuaga na kuzika kulingana na imani na tamaduni za jamii husika. Kwa waislamu maiti haioneshwi hadharani badala yake ndugu wa karibu tu ndio wanaweza kuiona. Lakini kwa baadhi ya imani na tamaduni ikiwa ni pamoja na serikali, mtu akifa anaagwa kwa kuoneshwa hadharani...

Ukifa / Ukifariki Wewe huu Ushauri wako tutauzingatia na kuufuata, ila kwa Heshima ya Rais Mzee Mkapa acha aonyeshwe tu.
 
Mtoa post hatuwezi kuwa na tamaduni zinazofanana NEVER....kila mtu afate tamaduni zake,nchi huru hii
 
Anataka kujifa
Ukifa / Ukifariki Wewe huu Ushauri wako wa ' Kipopoma 'mno tutauzingatia na kuufuata, ila kwa Heshima ya Rais Mzee Mkapa acha aonyeshwe tu.
Anataka kujifananisha na Mzee Mkapa anadhani ni mtu wa kawaida kama yeye...watu kama Mzee Mkapa hawazaliwi kila siku wala hovyohovyo anaweza kuzaliwa mmoja baada ya miaka kadhaa ....amuache apate heshima yake anayostahili
 
Mpuuzi sana huyo ' Popoma ' Mkuu. Kanikera kweli kweli!
 
Kiukweli inachosha kwa ndugu hasa watoto, mke, siku tatu akae uwanjani kama maonesho kiasi flani unatamani wamwache marehemu tu azikwe nalo lipite
 
Mimi nipo likizo lakin kama ni mzazi wangu na kila anayepita anaacha elfu kumi naweza fikiria kuongeza sk

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈
 
Mtu anapo kufa kuna taratibu za kuaga na kuzika kulingana na imani na tamaduni za jamii husika. Kwa waislamu maiti haioneshwi hadharani badala yake ndugu wa karibu tu ndio wanaweza kuiona. Lakini kwa baadhi ya imani na tamaduni ikiwa ni pamoja na serikali, mtu akifa anaagwa kwa kuoneshwa hadharani...
Hakuna kitu maonesho ni imani tu na tafsiri yako juu ya jambo hili. Kila jambo lina maana yake ukilichunguza kwa upande wa pili.
 
Kama ingekuwa ni hivyo serikali isingezuia ukeketaji, unyago, ndoa za utotoni nk maana hizo nazo ni tamaduni na imani za watu katika nchi huru
Mtoa post hatuwezi kuwa na tamaduni zinazofanana NEVER....kila mtu afate tamaduni zake,nchi huru hii
 
Back
Top Bottom