Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,263
- 7,399
naona umepitia MLANGO wa kutokeaKatika kijiji cha Tella Mande kilichopo wilaya moshi vijijini kata ya old moshi, kaskazini mwa mji mdogo wa Kiboriloni upo mradi wa maji wa 900m ambao umesimama kwa hujuma ya mkandarasi na wahandisi wa maji. Walitandika mabomba undersize na wananchi walipopiga kelele wakayatoa na hawajaleta mengine na site hawaonekani.
Ofisi ya mradi iliyotarajiwa kugharimu 50m kama ilivyo kwenye andiko ndio kichekesho kama inavyoonekana hapa.
Wahusika wooote. Kimyaaaa.View attachment 1291311
Sent using Jamii Forums mobile app