jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,204
- 42,942
Udsm kama huna jina linaloanzia na Ruta ama kule karibu na mlima mrefu sahau kupata.Hiii unafikiri kama umechaguliwa kuwa AT wa physics udsm utafanyiwa assessment na mtu mwingine??, dadeki ni panel nzima ya idara waliochaguana sio poa,, so unachopresent wanakijua a to z ole wako udanganye
Inategemeana na departmentUdsm kama huna jina linaloanzia na Ruta ama kule karibu na mlima mrefu sahau kupata.
#MaendeleoHayanaChama
I remember 2008 wakati nikiwa TA ilikuwa 860elf.Ndio ngapi?
Hiyo si tabu mkuu kama ground itaachwa sawa,isiwe kwa sababu kasoma kwetu hats kama mbovu abebwe.kuhusu kupiga interview ya maana wala si ishu.asante mkuu,karibu kwa nyongeza.Hiii unafikiri kama umechaguliwa kuwa AT wa physics udsm utafanyiwa assessment na mtu mwingine??, dadeki ni panel nzima ya idara waliochaguana sio poa,, so unachopresent wanakijua a to z ole wako udanganye
Ni noma,kumbe sasa kwa kazi za tutorial ni ajiraportal wanatangaza,usahili ni chuo chenyewe?Udsm kama huna jina linaloanzia na Ruta ama kule karibu na mlima mrefu sahau kupata.
#MaendeleoHayanaChama
Kwamba GPA ya kuogopesha?duh!!,hapana;
Hii tuwaombe watueleze,na I we 70%.aisee kumbe ni moja kwa moja oral interview ambayo ni uwasilishaji topic?Presentation tu i.e Uwasilishaji Mada na unatakiwa upate 70% hapa Kazi ipo, hivi baada ya Presentation wanakuuliza Maswali? Naomba kujua.
Ila Kama Watu WA department ya chuo husika wanakuwepo kwenye interview basi jua kabisa kutakuwa na upendeleo mtupu na kujuana.Mziki Wa zile Nazi ni mzito kumbe.
Tena hata hamna maana ya Utumishi,sababu watapangana tuIla Kama Watu WA department ya chuo husika wanakuwepo kwenye interview basi jua kabisa kutakuwa na upendeleo mtupu na kujuana.
Inakuwaje sasa,ni kujitosa tuu.Ila Kama Watu WA department ya chuo husika wanakuwepo kwenye interview basi jua kabisa kutakuwa na upendeleo mtupu na kujuana.
Yeah ni rahisi kupangana, hebu fikiria panelists wote Watoke IFM Yani hapo wanamjazia you maksi za juu KimagumashiTena hata hamna maana ya Utumishi,sababu watapangana tu
Upendeleo wa wazi utakuwaInakuwaje sasa,ni kujitosa tuu.
Kiingereza muhimu,yani ni majangaShem unajua kiingereza kama cha tinsley? [emoji16][emoji16]
Huyo jamaa kama haelewi yani unamuuliza ndugu yako mshahara wake alafu utarajie akutajie kwa usahihi ili upange bajeti zako kupitia hela yake. Lazima akate laki kadhaa kwanza au hakwambii kabisaMkuu nimefanya kazi SUA niko na Bachelor tu, nilikuwa nalipwa PUSS ya kuanzia kabisa 1.5 basic sio Academician hapo TA amenizidi hiyo nikuwa napata. Labda hiyo 1.2 itakuwa ni net, yani hapo ana makato mengi.
mkuu kwa muhas wanataka 3.8 kwa bachelor .....Kwenye bachelor uwe na 3.5 na kama ni masters uwe na 3.8
Topic unachagua mwenyewe..tuliomba direct chuo na utumishi walokuwapo kusimamia tu ila oral wanakua wale doctors ndo wanauliza maswali..hr na secretary pia academic wa chuo husika anakuwapo.Panel ilikua na watu 7 na tuliitwa watano tu.Walianza na maswali general after that nkaona umeletwa ubao..Mark pen..ufutio nmeambiwa haya chagua topic yoyote utufundishe kwa nusu saa.Aisee balaa,sasa topics kila somo,hiii bhagosha.kukumbuka ni mtihani sana.mliitwa wangapi? Na he ilikuwa Utumishi au chuo wenyewe?
Academician at work.Unataka uwe member wa UDASSA ili mkilewa Bia safari tu-discuss mambo ya nadharia za research na business modals?Karibu nipo hapa UDASSA rafiki!!Habarini za wakati huu?
Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato izuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi nafasi kazi ya ukufunzi au Tutorial Assistant.
Historia inaonesha kuwa wale wote waliokuwa maprofesa na wasomi nguli walianzia katia ngazi ya chini kabisa yaani T.A
Wadau hapo jana kumekuwepo na muendelezo wa matangazo ya ajira mbalimbali serikalini ikiwemo ya T.A, karibuni tujadili ubora wa asali katia nafasi hii, aina ya maswali kwa wenye uzoefu na aina hii ya kazi, changamoto na maslahi yake kwa ujumla.
Karibuni Wapambanaji.
Chuo husika hakitakiwi kuleta mtu yoyote yule, wachukue wa Vyuo vingineTopic unachagua mwenyewe..tuliomba direct chuo na utumishi walokuwapo kusimamia tu ila oral wanakua wale doctors ndo wanauliza maswali..hr na secretary pia academic wa chuo husika anakuwapo.Panel ilikua na watu 7 na tuliitwa watano tu.Walianza na maswali general after that nkaona umeletwa ubao..Mark pen..ufutio nmeambiwa haya chagua topic yoyote utufundishe kwa nusu saa.
Kwamba TA wa physics wa udsm awe assessed na dr wa chuo kingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chuo husika hakitakiwi kuleta mtu yoyote yule, wachukue wa Vyuo vingine