CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,529
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli mkuu,tena naona huwa wanaita wachache sana wakiwa wengi ni 50 tuwanakosea wachukue watu wenye GPA hata za kawaida wawaweke pale kwenye interview waone mbivu na mbichi
jamaa angu nimempita GPA ila alikuwa dedicated anafundisha watu na wanaelewa kweli, wenye gpa kubwa walikuwa hawana time ya kumfundisha mtu...
Unaajili Lect hana hata habari ya kufundisha kazi kusifia credentials zake kasoma UK sijui ana PhD halafu anafundisha havieleweki
Udsm ni lazima uwe na 3.8
Udsm ni lazima uwe na 3.8
Ni kweli,ila ni wachache pia,vipi mkuu una uzoefu na interview zake?Udsm ni lazima uwe na 3.8
Hii wanalipwa wale laboratory au field technologists.TA wa chuo kikuu mshahara ni zaidi ya 1.5m
Inategemeana na kozi na ukazaji wako, ila kupata GPA kubwa ni rahisi tu.Tatizo hawakubali GPA za kichovu
PeretiNaona saivi utumishi wanaita direct kwenye oral kwa nafasi za kufundisha... sie tuliitwa oral moja kwa moja. Jiandae tu kuandaa presentation na kupresent
HahahaWanajiitaga wahadhiri. Eti sio walimu
Kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi za wenye GPA kubwa hizo... ndo maana hazijadiliwi [emoji16] wenye kuzitaka wachache
Vyuo vikuu vya serikali wanataka degree GPA kuanzia 3.8 na Masters kuanzia 4.0Hiki ni Teku?
Hizo kazi nafikiri wengi hawazifikirii sababu ya GPAWakuu toeni uzoefu Wa hizi kazi, maana huwa watu ni kama hawazioni,sijui kwanini aisee maana zina kamshahara kazuri sana.
Hicho nilichopost hapo ni IFM. Naona taasisi za elimu kama ISW & IFM kwa tutor inaanzia na 3.5 ila ass lect inaanzia na 3.8Vyuo vya serikali wanataka degree GPA kuanzia 3.8 na Masters kuanzia 4.0
Kwa mwendo huu wa GPA hvyo vyuo vyao watafundisha haohao akina John Kisomo.. Yaan nasoma Hadi napata GPA ya 4.0 undergraduate na hizi kozi zetu tulizosoma nataka kuwa nani...!!! Mabaharia wenzangu eeeh, kama una GPA kuanzia 2.8 - 3.5 kozi za Science gonga 5👊 hapa zinatutosha sana 😁😁 na kazi tutapata tuHiyo ni kwa baadhi ya vyuo sana binafsi. Public vingi kama sio vyite wanataka GPA ya 4.0 masters ambae ni assistant lecturer. Na TA ni GPA kuanzia 3.8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajiitaga wahadhiri. Eti sio walimu
Mbona ww kupata rahisi sana. Hujaamua tuKazi naipenda hii sana, na lazima niwe.
Kijana ni 3.8 kwa bachelor degree na 4.0 kwa master degreeKwenye bachelor uwe na 3.5 na kama ni masters uwe na 3.8
Hawajiiti, bali wanaitwa hivyo na ni sahihi kabisa., punguzaa ujuajiWanajiitaga wahadhiri. Eti sio walimu
GPA not less than 4.0I know, masters ni Ass Lecturer ambayo unapaswa uwe na GPA 3.8 katika masters degree
Ni oral na presentation tu. Huwa hazina waombaji wengi, GPA ndio kikazwo kikubwa, ni kazi nzuri kwa anaependa kusoma. Unakuwa na muda wa kutosha kufanya mishe zako kwani haikkubani sana, Maslahi ni mazuri ukilinganisha na kada nyingine nyingi za utumishii wa umma, ukiwa assistant lecturer unaanza na si chini ya 2.7. MNadhani huwa wanafanya written ya language baadae unamaliza na Oral ya presentation.
Kwa vyuo vikuu vyote GPA isiwe chini ya 3.8Hiki ni Teku?