Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

ngoja tupamba

tupamabane,kama udsm hapo ni tabu kwelikweli kupata.
Unadhani u-tutorial assistant ni dili sana au? Kuna wakulungwa huko wana-institute Government policies wana elimu ya kawaida tu.

Ofisi, marupurupu na usafiri full mi-vxr-v8, ni funika mbaya.

Ma-profesa wa SUA/UDSM/IFM/UDOM n.k wakasome namba!

Usikariri kijana.
 
You nail it!!!
 
Heeee,sawa mzee.hongereni kwa hayo magari yenu.
 

Kabisa [emoji375]
 
Ni kazi nzuri kwa kijana anaeanza maisha baada ya chuo. Mshahara wa 1.8m kwa kijana wa miaka 24 sio mbaya. Kwa sisi tuliokula chumvi nyingi ni hela ndogo haitoshi.
Mimi hata km nimekula chumvi nyingi huo mshahara unanifaa,sema muda wa kufanya mishe zangu je,nitaupata Kweli,au ndio ni kukomaa na kazi mwanzo mwisho??.
 
He
 
Ukiwa T.A kuna opportunity ya kujiendeleza tena chuo wenyewe wanakusponsor kila tu hata kwenda kusoma nje ya nchi
Kaka sponsorship unayopata si kama scholarships zingine.. Mara nyingi ni very limited budgets. Mtu anasoma na frustrations nyingi.. mpaka wakitoka huko hawana weredi kabisa. Wanangu kibao wanalalama. Bora wangesoma kwa ruzuku za serikali
 
Mkuu kwani pesa za chuo sio za serikali? Hata hivyo ni mara chache sana kupelekwa nje kusoma kwa hela za ndani. Mara nyingi watu huenda kwa scholarship zao wenyewe walizotafuta, scholarship zinazotolewa na mashirika makubwa yanayopiga tafu vyuo vikuu ama scholarship kutokana na miradi maalumu inayofadhiliwa na mashirika makubwa yasiyo ya kiserikali.
Kaka sponsorship unayopata si kama scholarships zingine.. Mara nyingi ni very limited budgets. Mtu anasoma na frustrations nyingi.. mpaka wakitoka huko hawana weredi kabisa. Wanangu kibao wanalalama. Bora wangesoma kwa ruzuku za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…