Tutoe ushauri kulingana na mada husika

Kwamba usiambiwe ukweli ukiandika pumba?

Ukweli utasemwa tu. Sio ujuaji .
 
Ndi ndi ndi putuli putulu , hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele [emoji448][emoji448][emoji448]
 
Mwenye Uzi wake hajamind wewe lichawi umemind si utahira huo.. Kuna watu mnaishi kwa chuki ndogondogo mno nahisi mnajikwaza mno kwenye maisha yenu kama hii ndio style ya unavyoishi...😂
 
Mwenye Uzi wake hajamind wewe lichawi umemind si utahira huo.. Kuna watu mnaishi kwa chuki ndogondogo mno nahisi mnajikwaza mno kwenye maisha yenu kama hii ndio style ya unavyoishi...😂
Kumbe nilivyokuita mchawi umemind sio?🤣
Kweli mchawi ni mchawi tu, kwa comments zako za humu jf naona haupo sawa kiakili, either una laana...
Jitafakari mkuu
 
Kumbe nilivyokuita mchawi umemind sio?🤣
Kweli mchawi ni mchawi tu, kwa comments zako za humu jf naona haupo sawa kiakili, either una laana...
Jitafakari mkuu
Ni vile kila mtu na uamuzi wake ktk kuutumia huu mtandao ukitaka kujua wewe ni lichawi kubwa jinga jiulize kwanini unabishana na mtu ambae analaana na hayupo sawa kiakili...??
Ila watu bhana utafikiri nimemuhoji mweka mada kitu cha tofauti sana inakuja Kobe huko na stress zake inaanza kubwabwaja...😅
 
Nyie wapuuzi mnaocomment utopolo humu ndio wakushughulikiwa, mnajifanya wajuaji Hadi mnakera.
Kila Uzi lazima licomment tu na maupumbavu yake.
Yaani wewe Hauna tofauti na chikumbalanga🤣🤣🤣
 
Nyie wapuuzi mnaocomment utopolo humu ndio wakushughulikiwa, mnajifanya wajuaji Hadi mnakera.
Kila Uzi lazima licomment tu na maupumbavu yake.
Yaani wewe Hauna tofauti na chikumbalanga🤣🤣🤣
Punguza umbea nakufatilia watu fanya mambo yako,kukomenti Kila Uzi haikumalizii maisha yako unahangaika na vitu vya ajabu yaonyesha wewe ni mbeambea tu...😂
 
Punguza umbea nakufatilia watu fanya mambo yako,kukomenti Kila Uzi haikumalizii maisha yako unahangaika na vitu vya ajabu yaonyesha wewe ni mbeambea tu...😂
Sibishani na jitu lisilo sawa kiakili!
Viajira vyenu vya kupata hela ya kula unahisi umeyapatia Sana maisha sio

Wewe ulipaswa uwe umefungwa kamba milembe kitambo sana😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…