Tutoe baridi Kidogo...

Hii dunia sasa imevamiwa, kwa vile kiongozi wake ni Ibilisi bas wacha dhoruba zitupige tu
 
Kitu kinanyongwa pèupe, kitu kitamu kuliko asali nimekula toka nikiwa form two mpaka namaliza masters. Kikichanganywa na ugoro we acha tu
Mmh..! Kama ni kweli basi mwanao hayupo salama kwenye ubongo!
 
Kwani ile sigara bwege yakuitwa skanka sjui nn inafananeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…