Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo.

Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
 
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo.

Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
Wapo wazalendo wengi kuliko unavyodahni, tatizo liko juu kule
 
Mkuu wa majeshi anasema walitaka kumpindua mama halafu yeye anacheka cheka ,rushwaaaaaaa mbayaaaa
 
Unafahamu supu ya kongoro ya ng’ombe ikizidi viungo inakuwa rost ya nguruwe aka mbuzi katoliki
 
Back
Top Bottom