SIYO KESHO NI LEOkesho kwa Mkapa
Chadema vichaa tu kama walivyo vichaa wa MilembeYaani nyie ni vichaa sijapata kuona, yaani mnajua tulivyopinga upuuzi wenu wa kuruhusu huu ujinga wa biashara holela mkamsikiliza yule mwendazake.
Leo mnaanza kutusumbua hapa, mnatengeneza tatizo, mnakuja na suluhisho fake then mnashangilia. Mna akili kweli nyie? Naona kama vile mnastahili kwenda mirembe
Je utawatetea mama ntilie watakavyoanza kupigwa?Yaani nyie ni vichaa sijapata kuona, yaani mnajua tulivyopinga upuuzi wenu wa kuruhusu huu ujinga wa biashara holela mkamsikiliza yule mwendazake.
Leo mnaanza kutusumbua hapa, mnatengeneza tatizo, mnakuja na suluhisho fake then mnashangilia. Mna akili kweli nyie? Naona kama vile mnastahili kwenda mirembe
Kwanini wapigwe?!Je, utawatetea mama ntilie watakavyoanza kupigwa?
Kwahio mmetengeneza Tatizo, na sasa mnataka muwapige, sio? Wakupigwa na kulaaniwa ni Nyie mliowaruhusu wafanye biashara holela eti Rais wa WanyongeJe utawatetea mama ntilie watakavyoanza kupigwa?
Mpuuzi huyu, kakosa cha kuandika Leo anawashwawashwa na vidoleKwanini wapigwe ?!.
Hao wamachinga aatakuwa wanapigwa barabarani si watakimbilia chadema?CDM wanachosema ni kwamba " Weka misingi mizuri ya mambo haya" - miaka nenda rudi tatizo la wamachinga dar es salaam halijawahi kutatuliwa na kuisha kwa nini? CCM mmeshindwa kutatua tatizo hili badala yake huwa mnaliahirisha then mnaibuka tena kulitatua wakati limeshakuwa si tatizo tena bali ni zigo.
Hawa sasa hao wamachinga waliojazana hapo mitaa ya posta na mwingineko kote kwa maelfu unawapekeka wapi, kwa utaratibu upi?
Hakuna haja ya kuwatetea, wenyewe watapima wapi kuna unafiki, wataamua.Je utawatetea mama ntilie watakavyoanza kupigwa?