Tutavumilia mpaka lini?

Tutavumilia mpaka lini?

Mopao Josee

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
280
Reaction score
1
NDUGU WADANGANYIKA
NAPENDA KUTOA POLE NYINGI KWA USUMBUFU MLIOUPATA KWA TAKRIBANI MIEZI MITATU (3) KWA KUSKILIZA NA KUANGALIA TV KILICHOKUA KINATOKEA LIVE OR RECORDED BUNGENI,MCHEZO TUNAUMALIZA JMOSI.
NAOMBA UFAFANUZI WA YOTE YALIYOJIRI,
Mfano -KELELE ZOTE ZA KUPINGA BAADHI YA BAJETI ZA WIZARA ZIMEPITA
-KASHFA ZOTE ZA MIGODI,UFISADI nk ZIMEPITA
-
-
-
-
JE KUNA UMUHIMU GANI WA KIUWA NA WABUNGE KAMA HAKUNA HATUA ZINAZOCHUKULIWA?

NAWAKILISHA
OUR LIVES BEGIN TO END THE DAY WE BECOME SILENT ABOUT THINGS THAT MATTER!!!!!!
 
Ni muhimu bunge likaendelea kuwepo, itakuwa njia mojawapo ya kuhalalisha maamuzi ya wachache hata kama haya manufaa kwa taifa au labda hayapendwi na wengi.
 
Ni jukumu la waelewa juelimisha wapiga kura ni aina gani ya wabunge wawachague, vinginevyo tuna lundo la wabunge kwa majina walasio wawajikilishi
 
NDUGU WADANGANYIKA
NAPENDA KUTOA POLE NYINGI KWA USUMBUFU MLIOUPATA KWA TAKRIBANI MIEZI MITATU (3) KWA KUSKILIZA NA KUANGALIA TV KILICHOKUA KINATOKEA LIVE OR RECORDED BUNGENI,MCHEZO TUNAUMALIZA JMOSI.
NAOMBA UFAFANUZI WA YOTE YALIYOJIRI,
Mfano -KELELE ZOTE ZA KUPINGA BAADHI YA BAJETI ZA WIZARA ZIMEPITA
-KASHFA ZOTE ZA MIGODI,UFISADI nk ZIMEPITA
-
-
-
-
JE KUNA UMUHIMU GANI WA KIUWA NA WABUNGE KAMA HAKUNA HATUA ZINAZOCHUKULIWA?

NAWAKILISHA
OUR LIVES BEGIN TO END THE DAY WE BECOME SILENT ABOUT THINGS THAT MATTER!!!!!!
tumia KURA yako 2010 kuleta mabadiliko kwa sasa ni ngumu kidogo...
 
hivi unategemea nini mbunge anasimama na kuomba wanawake waache kuvaa mawigi na badala yake wapake wanja kama enzi zake, ina maana hii nchi ni ya wapaka wanja?
 
Wabunge wote wa tanzania wanafkiiiiiiiiii, na wajue kabisa kazi inakuja mwakani na nahakika wengi hawatarudi tena
 
Hakuna mabadiliko yoyote unless CCM ivunjwe au ife.
 
Kama mnafahamu kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania. Mbunge anawakilisha chama na si wananchi waliowachagua.

sasa usitegemee mabadiliko yoyote mpaka katiba ibadilishwe
 
Namba moja 2010 election, watu tuchague mtu kutokana na historia yake, je ameshawahi japo kufanya nini, mwonekano wake kimaadili nivipi? sasa tunachagua watu kwenda kugonga meza na kula allowance bungeni? hawajibishwwi mtu hata ushahidi uwe wazi kiasi gani? tumechoka kufanyiwa usanii na watawala wetu, kwani sio viongozi hata kidogo!sasa inabidi mgombea apendekezwe na wananchi tena apigiwe kura za maoni kwanza ndo wapande kura za kitaifa, Jimtu linaishi Dar na biashara zake eti mimi mbunge wa Ludewa, stupiduty at its best!!
 
Uvumilivu siku zote una mwisho wake na huwa unatokea haupangwi.
 
Back
Top Bottom