Tens hapo kwa umri unatakiwa kumzidi sana. Miaka 20 na zaidi....Wanawake wao wanataka ndoa kutokaa na umri pia...we kwako bado bado ye tayari...hivo usiingie kwa kushinikizwa.....webmaliza masomo pata kazi jijenge.....ndio maana mara nyingi ni vizuro kuoa uliyemzidi kiumri awe mdogo kwako uwe umemzidi kiasi vitu vya hapa na pale
Mugabe kamzidi mkewe miaka 47
Putin kamzidi mkewe miaka 33
Mengi kamzidi mkewe miaka ...