Tutasikia mengi sana urais mwaka huu

Tutasikia mengi sana urais mwaka huu

elishamani

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
21
Reaction score
1
Nimefuraishwa sana leo na mgombea mmoja😃😃

💥Kwanza amejitathimini akaona yeye kwa sifa amewazidi wagombea wote katika nyanja zote.
💥pili anasema ameamua kugombea baada ya timu yake kumpa uhakika kama anakubalika bara na visiwani
💥anagombea pia kwa sababu amefundishwa na makamu mwenyekiti wa chama MANGULA sasa sijui ni sifa pia
💥jingine ameamua kugombea kwasababu amewahi kuwa usalama wa taifa kwa miaka 15 cjui nayo ni sifa???
💥ni mgombea pekee aliyeahidi kuendeleza barabara ya lindi sijui nayo ni sifa.
💥pia anasema atagombea kwa sababu ameongea na baba wa taifa akaenda ikulu akaona viatu ni vipya kwahyo ameamua kugombea sijui nayo ni sifa ya mgombea.
💥amesema ameanza kuwa mwanaxhama wa ccm akiwa na umri wa miaka 22 😃😃😃alafu anataka urais sijui nayo ni sifa.
💥kama umemsikiliza ameongea na wanalindi na sio watanzania maana vijembe kaongelea watu wa lindi tu mm sijasikia sehemu anazungumzia watanzania
💥ni mgombea anaweza kutenganisha mtoa rushwa na mpokea rushwa cjui atawatenganishaje
💥ni mgombea anayewadharau wakulima pale aliposema watakaoahikwa na rushwa wakawe walala hoi kama wakulima wa mihogo.
💥mwisho ni mgombea anayebariki kununua uongozi katika ngazi zote iwe ubunge, udiwani au uwaziri kwake haina shida isipokuwa URAIS maana yeye yeye anagombea.




Sasa kwa kauli hzo za RAIS WA LINDI ANAFAA KUTUONGOZA KWELI NA KUPITISHWA NA CHAMA BINAFSI AMENIBURUDISHA SANA.
 
Wagombea wa ccm wamepora sera za upinzani ndo wanapigia kick kwenye kujinadi. oooh nitaondoa rushwa. oooh nitapunguza idadi ya wizara. oooh nitaongeza uwazi uwajibikaji na utawala bora. wakati hayo yote yaliyafuta kwenye rasimu ya warioba. mbwembweee nyiingiii hakuna kitu
 
Nimefuraishwa sana leo na mgombea mmoja

Kwanza amejitathimini akaona yeye kwa sifa amewazidi wagombea wote katika nyanja zote.
pili anasema ameamua kugombea baada ya timu yake kumpa uhakika kama anakubalika bara na visiwani
anagombea pia kwa sababu amefundishwa na makamu mwenyekiti wa chama MANGULA sasa sijui ni sifa pia
jingine ameamua kugombea kwasababu amewahi kuwa usalama wa taifa kwa miaka 15 cjui nayo ni sifa???
ni mgombea pekee aliyeahidi kuendeleza barabara ya lindi sijui nayo ni sifa.
pia anasema atagombea kwa sababu ameongea na baba wa taifa akaenda ikulu akaona viatu ni vipya kwahyo ameamua kugombea sijui nayo ni sifa ya mgombea.
amesema ameanza kuwa mwanaxhama wa ccm akiwa na umri wa miaka 22 alafu anataka urais sijui nayo ni sifa.
kama umemsikiliza ameongea na wanalindi na sio watanzania maana vijembe kaongelea watu wa lindi tu mm sijasikia sehemu anazungumzia watanzania
ni mgombea anaweza kutenganisha mtoa rushwa na mpokea rushwa cjui atawatenganishaje
ni mgombea anayewadharau wakulima pale aliposema watakaoahikwa na rushwa wakawe walala hoi kama wakulima wa mihogo.
mwisho ni mgombea anayebariki kununua uongozi katika ngazi zote iwe ubunge, udiwani au uwaziri kwake haina shida isipokuwa URAIS maana yeye yeye anagombea.




Sasa kwa kauli hzo za RAIS WA LINDI ANAFAA KUTUONGOZA KWELI NA KUPITISHWA NA CHAMA BINAFSI AMENIBURUDISHA SANA.

Mihogo na chachandu imemkuza tangu yupo vidudu, leo anawadharau wakulima wa mihogo hatufai huyo. hah ha aha ha
 
Nadhani hawa wenye NIA wana complicate sana.
Kwani kuna ulazima wa kuongea mambo meeeeengiiiiii wakati unatangaza NIA?
Kwenye maneno mengi matokeo yako ndo hayo sasa.
Wakulima wametukanwa na wapiga vigelegele nao wakatia yao.
 
Kwajinsi Nilivyotafakari Kwakina Na Kujitathimini Naona Kinyang'anyiro Cha Uchaguzi Watatoana Ngeu!
 
Back
Top Bottom